Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabla hawajafikia kwenye glass waende wakawashukuru wale wavuvi wasio na elimu hata ya uokozi lakini wamefanya wonderz maana wao hata kamba ya kuvutia ile ndege walikua hawanaNdio ilivyo na hapo watawala wanaaza kugongeana glass
Inaumiza Sana kwa kweli....taifa la wasiojali.Viongozi wetu wanapenda kutumia magari ya gharama,wakistaafu wanajengeana majumba ya kifahari wakati hata vifaa vya kisasa vya uokoaji hakuna.
Nadhani watu wakishakuwa viongozi huwa wanapata mafunzo ya jinsi ya kutokujali.
Aibu kama hizi zinaendelea kutokea, nakumbuka kuna ajali moja watu wa uokoaji walisema giza limeingia tutakuja kuokoa tena asubuhi, muda huo watu wapo chini ya maji.
Mstari mngeuchora kwa yule nyonya damu aliyelala usingizi kuzimuNi wakati huu utawala uchorewe mstari
Ndo Mana wanalipwa hulipwa Chao kila anaporuka sio kusubiria 22----22Kuna kazi zingine ni ngumu kwakweli
Huu ni uzembe kabisa kama walikua wanawasiliana naye kipi kiliwashinda maji yalipowazidia kuvunja dirisha au kioo cha rubani kuwatoa..? Dogo majaliwa asinge pigwa na ile kamba akazima angevunja na rubani angechomokaRubani, Kapteni Buruhani Rubaga, na Afisa wa Kwanza Peter Omondi Odhiambo awali walinusurika kwenye ajali hiyo na walikuwa wakiwasiliana na maafisa baada ya ndege hiyo kutumbukia ziwani.
Wote wawili hatimaye walikufa kwa sababu ya kushindwa kuokolewa kwa muda muafaka.
Someone must take responsibility for this negligence.
View attachment 2408892
Ndugu kile chombo sio kabisa wakati wa emergency ushirikiano na modula oblongata unakataa kabisa ukikuta na nje hawana misaada ur goneKuna kazi zingine ni ngumu kwakweli
Hakuna kamahichoo mkuu wanalipwa end of month ..allowance aiingizwi kwenye mshaharaNdo Mana wanalipwa hulipwa Chao kila anaporuka sio kusubiria 22----22
Mita 100 ni uwanja wa mpira wa miguu tu,,,Mita 100 tu wana wamekata moto kama ilivyo kua kule ukelewe imagine wangekuwa umbali zaidi ? Wote wange kata moto faster tu
Huyu aliyezuia rubani na msaidizi wasitolewe ni nani na kwa nini? Alikuwa na motives gani behind?
View attachment 2409302
Kuna kazi zingine ni ngumu kwakweli