Rubani na msaidizi wa Precision Air iliyopata ajali wamekufa kwa uzembe wa mamlaka zinazohusika na uokoaji

Huu ni uzembe kabisa kama walikua wanawasiliana naye kipi kiliwashinda maji yalipowazidia kuvunja dirisha au kioo cha rubani kuwatoa..? Dogo majaliwa asinge pigwa na ile kamba akazima angevunja na rubani angechomoka
Alisha fika dirishani kuwachomoa ila kuna k [emoji2959][emoji2959][emoji2959] mmoja akamzuia! Tunataka kumjua huyo m[emoji2959][emoji2959] alie mzuia majaliwa kuvunja kioo pengine ana ajenda ya siri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna kazi rahisi. Uliza mafundi umeme wangapi wanakufa kwa mwaka wakiwa makazini, madereva wa magari wangapi wanakufa kwa mwaka kazini, askari je? Afu uliza marubani wangapi wanakufa kwa mwaka kazini utaona tofauti ilivyo kubwa.
Ila kutembea na roho za watu mkononi tena upo mawinguni daaah ni mtihani! Imagine hiyo ndege ingeanguka usiku 😥
 
control tower hawakuwa na msaada hata wangepokea simu ya rubani wetu RIP,ila rubani amekufa kwa uzembe 10000% wa mamlaka.
 
Ila kutembea na roho za watu mkononi tena upo mawinguni daaah ni mtihani! Imagine hiyo ndege ingeanguka usiku 😥

Mkuu urubani ni kazi rahisi kuliko udereva wa gari. Ndege for the most part zipo on auto-pilot. Kuna ripoti ya marubani kulala angani inastajaabisha, jiulize dereva wa gari akilala dakika 3 tu wangapi mtafika salama?

Your pilot dozes off while flying... a startling number does, says a survey

Kadhalika ajali za ndege ni few and far in between so rubani ana chances mara 1000 zaidi za kutofia kazini kuliko taaluma nyingine yeyote ile. Ni lini mara ya mwisho umesikia ajali ya ndege TZ au duniani? Afu jiulize ajali za magari? Nimekwambia fuatilia electricians wangapi wanakufa makazini kwa mwaka ujionee namba ilivyo kubwa. Hapo sijaongelea askari, wavuvi nk. Urubani ni kazi rahisi na salama sana.
 
Haya
 
Back
Top Bottom