Alisha fika dirishani kuwachomoa ila kuna k [emoji2959][emoji2959][emoji2959] mmoja akamzuia! Tunataka kumjua huyo m[emoji2959][emoji2959] alie mzuia majaliwa kuvunja kioo pengine ana ajenda ya siriHuu ni uzembe kabisa kama walikua wanawasiliana naye kipi kiliwashinda maji yalipowazidia kuvunja dirisha au kioo cha rubani kuwatoa..? Dogo majaliwa asinge pigwa na ile kamba akazima angevunja na rubani angechomoka
Ila kutembea na roho za watu mkononi tena upo mawinguni daaah ni mtihani! Imagine hiyo ndege ingeanguka usiku 😥Hakuna kazi rahisi. Uliza mafundi umeme wangapi wanakufa kwa mwaka wakiwa makazini, madereva wa magari wangapi wanakufa kwa mwaka kazini, askari je? Afu uliza marubani wangapi wanakufa kwa mwaka kazini utaona tofauti ilivyo kubwa.
Ila kutembea na roho za watu mkononi tena upo mawinguni daaah ni mtihani! Imagine hiyo ndege ingeanguka usiku 😥
HayaMkuu urubani ni kazi rahisi kuliko udereva wa gari. Ndege for the most part zipo on auto-pilot. Kuna ripoti ya marubani kulala angani inastajaabisha, jiulize dereva wa gari akilala dakika 3 tu wangapi mtafika salama?
Your pilot dozes off while flying... a startling number does, says a survey
Kadhalika ajali za ndege ni few and far in between so rubani ana chances mara 1000 zaidi za kutofia kazini kuliko taaluma nyingine yeyote ile. Ni lini mara ya mwisho umesikia ajali ya ndege TZ au duniani? Afu jiulize ajali za magari? Nimekwambia fuatilia electricians wangapi wanakufa makazini kwa mwaka ujionee namba ilivyo kubwa. Hapo sijaongelea askari, wavuvi nk. Urubani ni kazi rahisi na salama sana.