Rubani wa Turkish Airlines afariki wakati ndege ikiwa angani, abiria wanusurika

Rubani wa Turkish Airlines afariki wakati ndege ikiwa angani, abiria wanusurika

Mtoa Taarifa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2024
Posts
213
Reaction score
671
1728492787075.png

Rubani huyo (İlçehin Pehlivan, 59) wa Ndege ya Shirika la Turkish Airlines Jetliner iliyokuwa ikItoka Seattle Marekani kwenda Istanbul ameripotiwa kufariki wakati akipewa huduma ya kwanza kabla ya Ndege kutua.

Kwa mujibu wa Msemaji wa Shirika hilo, ahya Üstün, amesema Rubani alipata shida ya kiafya na hivyo kupewa huduma ya kwanza lakini alipoteza maisha kabla ya Wasaidizi kuiendesha Ndege na kutua ikiwa salama na Abiria katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa John F. Kennedy .


A Turkish Airlines jetliner headed from Seattle to Istanbul made an emergency landing in New York on Wednesday after the pilot died on board, an airline spokesperson said.

Pilot İlçehin Pehlivan, 59, lost consciousness at some point after Flight TK204 took off from Seattle Tuesday night, Turkish Airlines spokesperson Yahya Üstün said in a statement.

Crew members decided to make an emergency landing and worked to revive the pilot, Üstün said, but he died before the plane landed.

Data from the tracking site FlightAware shows that the Airbus A350 landed at John F. Kennedy International Airport just before 6 a.m.

Arrangements were being made for passengers to reach their destination from New York, the airline spokesperson said.

Pehlivan had worked at Turkish Airlines since 2007, Üstün said. A routine health check in March showed no health problems that would have prevented him from working, he said.

“As Turkish Airlines, we deeply feel the loss of our captain and extend our sincerest condolences to his bereaved family, colleagues, and all his loved ones,” Üstün said.
 
Nadhani interesting part ni ya crew members kuiongoza ndege hadi ikatua salama
itakuwa wana Abc mbili tatu ukiniacha kama mimi salini tu maana naenda kuitumbukiza majini tukaliwe na samaki...😂

kwa mtu asiejua niliona namna yakuwasiliana na controller wa huku chini ndugu ni process kiasi, nafikiri hao walifaulu aidha ndege ilikuwa ni automatic hizo ni nyepesi hata ku land ukishaset hushiki chochote mpk itakapogusa ardhi ndo unabalance isitoke kwenye njia yake.
 
Back
Top Bottom