Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Marubani huwa wawiliitakuwa wana Abc mbili tatu ukiniacha kama mimi salini tu maana naenda kuitumbukiza majini tukaliwe na samaki...😂
kwa mtu asiejua niliona namna yakuwasiliana na controller wa huku chini ndugu ni process kiasi, nafikiri hao walifaulu aidha ndege ilikuwa ni automatic hizo ni nyepesi hata ku land ukishaset hushiki chochote mpk itakapogusa ardhi ndo unabalance isitoke kwenye njia yake.
Halafu kuna wanajidanganya hakuna Mwenyezi Mungu. Mpuuzi sana mtu huyo mwenye mawazo hayo
Ndio maana kuna Co Pilot.Halafu kuna wanajidanganya hakuna Mwenyezi Mungu. Mpuuzi sana mtu huyo mwenye mawazo hayo
Hizi ndege zakislam bana. Yaani.View attachment 3120150
Rubani huyo (İlçehin Pehlivan, 59) wa Ndege ya Shirika la Turkish Airlines Jetliner iliyokuwa ikItoka Seattle Marekani kwenda Istanbul ameripotiwa kufariki wakati akipewa huduma ya kwanza kabla ya Ndege kutua.
Kwa mujibu wa Msemaji wa Shirika hilo, ahya Üstün, amesema Rubani alipata shida ya kiafya na hivyo kupewa huduma ya kwanza lakini alipoteza maisha kabla ya Wasaidizi kuiendesha Ndege na kutua ikiwa salama na Abiria katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa John F. Kennedy .
A Turkish Airlines jetliner headed from Seattle to Istanbul made an emergency landing in New York on Wednesday after the pilot died on board, an airline spokesperson said.
Pilot İlçehin Pehlivan, 59, lost consciousness at some point after Flight TK204 took off from Seattle Tuesday night, Turkish Airlines spokesperson Yahya Üstün said in a statement.
Crew members decided to make an emergency landing and worked to revive the pilot, Üstün said, but he died before the plane landed.
Data from the tracking site FlightAware shows that the Airbus A350 landed at John F. Kennedy International Airport just before 6 a.m.
Arrangements were being made for passengers to reach their destination from New York, the airline spokesperson said.
Pehlivan had worked at Turkish Airlines since 2007, Üstün said. A routine health check in March showed no health problems that would have prevented him from working, he said.
“As Turkish Airlines, we deeply feel the loss of our captain and extend our sincerest condolences to his bereaved family, colleagues, and all his loved ones,” Üstün said.
HakikaKifo ni kifo tu
Kwa hoja hii,kuwepo maisha ni dalili ya kuwepo MunguMwamba kapiga kazi mpaka mwisho.
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote angekuwepo kusingekuwa na kifo kinachotenganu
Isha watu wanaopendana.
Kifo ni uthibitisho Mungu hayupo.
Hakuna cha ruban mstaafu wala nini....kila ndege ya abiria inayosafiri hata za hapa Tz huwa lazima isindikizwe na Shushushu mmoja au wawili.Kuna mwaka nadhani 2006 kuna rubani alifia kwenye ndege ndogo, kwa bahati nzuri sana kwenye ndege ile kulikuwa na ruban mstaafu akarukia seat ya pili akaendesha ndege wakatua salama
Hapana, hiyo ni logical non sequitur fallacy.Kwa hoja hii,kuwepo maisha ni dalili ya kuwepo Mungu
View attachment 3120150
Rubani huyo (İlçehin Pehlivan, 59) wa Ndege ya Shirika la Turkish Airlines Jetliner iliyokuwa ikItoka Seattle Marekani kwenda Istanbul ameripotiwa kufariki wakati akipewa huduma ya kwanza kabla ya Ndege kutua.
Kwa mujibu wa Msemaji wa Shirika hilo, ahya Üstün, amesema Rubani alipata shida ya kiafya na hivyo kupewa huduma ya kwanza lakini alipoteza maisha kabla ya Wasaidizi kuiendesha Ndege na kutua ikiwa salama na Abiria katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa John F. Kennedy .
A Turkish Airlines jetliner headed from Seattle to Istanbul made an emergency landing in New York on Wednesday after the pilot died on board, an airline spokesperson said.
Pilot İlçehin Pehlivan, 59, lost consciousness at some point after Flight TK204 took off from Seattle Tuesday night, Turkish Airlines spokesperson Yahya Üstün said in a statement.
Crew members decided to make an emergency landing and worked to revive the pilot, Üstün said, but he died before the plane landed.
Data from the tracking site FlightAware shows that the Airbus A350 landed at John F. Kennedy International Airport just before 6 a.m.
Arrangements were being made for passengers to reach their destination from New York, the airline spokesperson said.
Pehlivan had worked at Turkish Airlines since 2007, Üstün said. A routine health check in March showed no health problems that would have prevented him from working, he said.
“As Turkish Airlines, we deeply feel the loss of our captain and extend our sincerest condolences to his bereaved family, colleagues, and all his loved ones,” Üstün said.
Absolutely true.Ndege zote zinazobeba abiria NI lazima kuwa na Ma-pilot SI CHINI ya wawili. Kwa dharura kama hizi
Maisha yenye mateso na mnakula raha!?..hamna starehe?!.. mateso yapi unazungumzia?!Hapana, hiyo ni logical non sequitur fallacy.
Inawezekana kuwepo maisha na kuwepo kifo vyote vinaonesha Mungu hayupo.
Kwa sababu, Mungu mwenye uwezo wote ujuzi wote na upendo wote angekuwepo, asingeachia viumbe wake wapate maisha yenye mateso kama haya.
Kula ni matokeo ya njaa, mateso, na huwezi kula bila mateso ya kazi.Maisha yenye mateso na mnakula raha!?..hamna starehe?!.. mateso yapi unazungumzia?!
Mateso au kazi?!..umbile la binadam huwa imara kwa kufanya kaziKula ni matokeo ya njaa, mateso, na huwezi kula bila mateso ya kazi.
Hakuna maisha bila mateso.
Huelewi wapi?
Hakuna maisha bila kazi, magonjwa, kuzeeka, njaa. Yote mateso hayo.Mateso au kazi?!..umbile la binadam huwa imara kwa kufanya kazi
Kwa Mungu huyo unayempinga,maisha unayoyataka ya kutofanya kazi wala kuugua utayapata ufalme wa milele, isipokua kwa Mungu ng'ombe wa wahindu na budha,wao ukifa utarudi ukiwa kiumbe mwingineHakuna maisha bila kazi, magonjwa, kuzeeka, njaa. Yote mateso hayo.
Kwanza kabisa simoangii Mu gu, naonesha contradictions katika hoja za juwepo kwake, cobtradictions zinazoonedha Mungu hayupo.Kwa Mungu huyo unayempinga,maisha unayoyataka ya kutofanya kazi wala kuugua utayapata ufalme wa milele, isipokua kwa Mungu ng'ombe wa wahindu na budha,wao ukifa utarudi ukiwa kiumbe mwingine
Hatupo kwenye kuthibitisha Mungu yupo,hoja yetu ilikua Mungu kuacha wewe kupata tabu/mateso,hulu mpaka uteseke,kwa nini uhangaike kutafuna (mateso) badala ya kuwa tu umeshiba automatically, ndiyo nikasema kwa Mungu huyu tunayempinga,hayo maisha ya bila mateso ni ndani ya ufalme wa milele,so hoja ya mateso haipoKwanza kabisa simoangii Mu gu, naonesha contradictions katika hoja za juwepo kwake, cobtradictions zinazoonedha Mungu hayupo.
Hapa unaambiwa Mungu ana uwezo wote, unuzi wite na upendo wote.
Hapa u aona Mungu anaachia ma tsunami yanaua watoto kwa nafungu.
Huo ufalme wa milele wenyewe wewe mwenyewe huwezi kuthibitisha upo.
Yani umeambiwa uthibitishe kuwa Mungu yupo si uongo, ni ukweli, unaleta uongo mwingine wa uzima wa milele, ambao nao huwezi kuthibitisha ni ukweli.
First officer sio random person kama kwenye cobra squadNadhani interesting part ni ya crew members kuiongoza ndege hadi ikatua salama
Si chini ya wawili. Long-haul zile A380 au 350 wanakuaga mpaka wanne. WanapokezanaMarubani huwa wawili