Rubani wa Turkish Airlines afariki wakati ndege ikiwa angani, abiria wanusurika

Halafu kuna wanajidanganya hakuna Mwenyezi Mungu. Mpuuzi sana mtu huyo mwenye mawazo hayo
Kwahiyo mwenyezi Mungu ndiye kamuuwa akiwa agani au Mungu r ndiye kaishusha ndege baada ya pilot kufariki?
 
Huko kote wapi ndugu yangu!?..hoja yetu mbona simple tu
Hujajibu swali.

Unafahamu "the problem of evil" ni nini?

Maana labda napata tabu sana kuelezea mambo kwa sababu huelewi mambo ya msingi kabisa katika philosophy of religion.
 
Nahitaji kuelewa philosophy of religion Ili kujadili ile hoja yetu!?
 
utaumbuka ndugu technology itakuumbua ndege zinatofautiana kwahiyo unataka kusema niliona uongo..?😅
Siwezi kuumbuka, nimesema hakuna hiko kitunkutokana na kwamba automatic landing inategemea zaidi na kiwanja Cha ndege na sio ndege yenyewe. Ni viwanja vingap vinasapoti automatic landing!? Katika ndege 100 unaweza usikute hata ndege Moja inayotumia automatic landing kitu kinachofanya ibakie kwenye vitabu tu. Auto landing inampa stress Zaid pilot kuliko akiland ndege manually.
 
😂 zwazwa kweli wewe mi nilianza kuona hiyo hapahapa tz na kwa hizi Boeing za magufuli kama sikosei video ipo YouTube na nishafatilia hukohuko YouTube nenda kaangalie.
 
Back
Top Bottom