Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Mimi sikubali Mungu yupo, ninahitaji uthibitisho kwamba yupo, wewe ni nani useme hatupo kuthibitisha Mungu yupo?Hatupo kwenye kuthibitisha Mungu yupo,hoja yetu ilikua Mungu kuacha wewe kupata tabu/mateso,hulu mpaka uteseke,kwa nini uhangaike kutafuna (mateso) badala ya kuwa tu umeshiba automatically, ndiyo nikasema kwa Mungu huyu tunayempinga,hayo maisha ya bila mateso ni ndani ya ufalme wa milele,so hoja ya mateso haipo
Unajuaje na kuthibitishaje Mungu kaacha mimi nipate mateso ndiyo ukweli, na ukweli si kwamba tunapata mateso katika dunia ambayo Mungu hayupo?