Rubani wa Turkish Airlines afariki wakati ndege ikiwa angani, abiria wanusurika

Marubani huwa wawili
 
Halafu kuna wanajidanganya hakuna Mwenyezi Mungu. Mpuuzi sana mtu huyo mwenye mawazo hayo

Mwamba kapiga kazi mpaka mwisho.

Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote angekuwepo kusingekuwa na kifo kinachotenganu
Isha watu wanaopendana.

Kifo ni uthibitisho Mungu hayupo.
 
Hizi ndege zakislam bana. Yaani.

adriz Adiosamigo Malaria 2 Kosugi Nyonzo bin mvule
 
Mwamba kapiga kazi mpaka mwisho.

Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote angekuwepo kusingekuwa na kifo kinachotenganu
Isha watu wanaopendana.

Kifo ni uthibitisho Mungu hayupo.
Kwa hoja hii,kuwepo maisha ni dalili ya kuwepo Mungu
 
Reactions: Cyb
Kuna mwaka nadhani 2006 kuna rubani alifia kwenye ndege ndogo, kwa bahati nzuri sana kwenye ndege ile kulikuwa na ruban mstaafu akarukia seat ya pili akaendesha ndege wakatua salama
Hakuna cha ruban mstaafu wala nini....kila ndege ya abiria inayosafiri hata za hapa Tz huwa lazima isindikizwe na Shushushu mmoja au wawili.
 
Kwa hoja hii,kuwepo maisha ni dalili ya kuwepo Mungu
Hapana, hiyo ni logical non sequitur fallacy.

Inawezekana kuwepo maisha na kuwepo kifo vyote vinaonesha Mungu hayupo.

Kwa sababu, Mungu mwenye uwezo wote ujuzi wote na upendo wote angekuwepo, asingeachia viumbe wake wapate maisha yenye mateso kama haya.
 
Ndege zote zinazobeba abiria NI lazima kuwa na Ma-pilot SI CHINI ya wawili. Kwa dharura kama hizi
Absolutely true.
Hususani kwa ndege kubwa zinazofanya safari za kimataifa, ni LAZIMA wawepo marubani zaidi ya wawili ambao wataendesha ndege pamoja wakiwa katika pairs, yaani:-
1. Pilot Driving.
2. Pilot Monitoring.

Ikitokea mmojawapo amepata dharula ya ghafla mwingine alitebaki ambaye aliyopo kwenye usukani anachukua nafasi yake ya kuendesha ndege.
 
Maisha yenye mateso na mnakula raha!?..hamna starehe?!.. mateso yapi unazungumzia?!
 
Maisha yenye mateso na mnakula raha!?..hamna starehe?!.. mateso yapi unazungumzia?!
Kula ni matokeo ya njaa, mateso, na huwezi kula bila mateso ya kazi.

Hakuna maisha bila mateso.

Hakuna maisha bila kuzeeka, magonjwa, shida, mateso.

Huelewi wapi?
 
Hakuna maisha bila kazi, magonjwa, kuzeeka, njaa. Yote mateso hayo.
Kwa Mungu huyo unayempinga,maisha unayoyataka ya kutofanya kazi wala kuugua utayapata ufalme wa milele, isipokua kwa Mungu ng'ombe wa wahindu na budha,wao ukifa utarudi ukiwa kiumbe mwingine
 
Kwa Mungu huyo unayempinga,maisha unayoyataka ya kutofanya kazi wala kuugua utayapata ufalme wa milele, isipokua kwa Mungu ng'ombe wa wahindu na budha,wao ukifa utarudi ukiwa kiumbe mwingine
Kwanza kabisa simoangii Mu gu, naonesha contradictions katika hoja za juwepo kwake, cobtradictions zinazoonedha Mungu hayupo.

Hapa unaambiwa Mungu ana uwezo wote, unuzi wite na upendo wote.

Hapa u aona Mungu anaachia ma tsunami yanaua watoto kwa nafungu.

Huo ufalme wa milele wenyewe wewe mwenyewe huwezi kuthibitisha upo.

Yani umeambiwa uthibitishe kuwa Mungu yupo si uongo, ni ukweli, unaleta uongo mwingine wa uzima wa milele, ambao nao huwezi kuthibitisha ni ukweli.
 
Hatupo kwenye kuthibitisha Mungu yupo,hoja yetu ilikua Mungu kuacha wewe kupata tabu/mateso,hulu mpaka uteseke,kwa nini uhangaike kutafuna (mateso) badala ya kuwa tu umeshiba automatically, ndiyo nikasema kwa Mungu huyu tunayempinga,hayo maisha ya bila mateso ni ndani ya ufalme wa milele,so hoja ya mateso haipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…