Mimi sikubali Mungu yupo, ninahitaji uthibitisho kwamba yupo, wewe ni nani useme hatupo kuthibitisha Mungu yupo?Hatupo kwenye kuthibitisha Mungu yupo,hoja yetu ilikua Mungu kuacha wewe kupata tabu/mateso,hulu mpaka uteseke,kwa nini uhangaike kutafuna (mateso) badala ya kuwa tu umeshiba automatically, ndiyo nikasema kwa Mungu huyu tunayempinga,hayo maisha ya bila mateso ni ndani ya ufalme wa milele,so hoja ya mateso haipo
Tupo kwenye hoja ya wewe kupata mateso kama dalili ya kutowepo Mungu,ndiyo tunajadili hiyoMimi sikubali Mungu yupo, ninahitaji uthibitisho kwamba yupo, wewe ni nani useme hatupo kuthibitisha Mungu yupo?
Unajuaje na kuthibitishaje Mungu kaacha mimi nipate mateso ndiyo ukweli, na ukweli si kwamba tunapata mateso katika dunia ambayo Mungu hayupo?
Unafahamu "the problem of evil" ni nini?Tupo kwenye hoja ya wewe kupata mateso kama dalili ya kutowepo Mungu,ndiyo tunajadili hiyo
Hakuna niliposema wameishusha wale watoto. Nimenukuu kwenye chanzo cha habari hii kuwa ni 'crew members' na yawezekana walimjumuisha co-pilot(s) kuwa ni miongoni mwao. Hawakuwa specific, but also note that wamesema crew members, sio crew member.Ni sahihi. Niliweka sawa alichosema niliyem-quote eti walioishusha ni wale watoto wazuri wanaorembulia abiria aka crew members.
Is roho a tangible thing?Inzi kafia kidondani.. What a beautiful death.. Amefia angani roho imenyoosha moja kwa moja mawinguni.. RIEP pilot.. You had a beautiful ending 💪🏿
NOMA SANA MKUU...Halafu kuna wanajidanganya hakuna Mwenyezi Mungu. Mpuuzi sana mtu huyo mwenye mawazo hayo
Huyu uliyemtaja ndiye aliyekua rubani msaidizi?Halafu kuna wanajidanganya hakuna Mwenyezi Mungu. Mpuuzi sana mtu huyo mwenye mawazo hayo
Urubani wala sio mgumu hivyo kama watu wadhaniavyo hata wewe wawesha shusha ndege kwa maelekezo kidogo tu kutoka control tower.Pilot ni operator tu na masomo yao si magumu, shida huwa ni ada ya masomo ndo kubwa lkn wanachukua hata mtu mwenye form 4.Asingekuwemo huyo rubani mstaafu ingekuwaje? Wawekwe tu wawili wawili aisee
Hakuna kitu kama hiki mzee, co pilot anaishusha vzuri tu. Hakuna kitu kinaitwa automatic landingitakuwa wana Abc mbili tatu ukiniacha kama mimi salini tu maana naenda kuitumbukiza majini tukaliwe na samaki...😂
kwa mtu asiejua niliona namna yakuwasiliana na controller wa huku chini ndugu ni process kiasi, nafikiri hao walifaulu aidha ndege ilikuwa ni automatic hizo ni nyepesi hata ku land ukishaset hushiki chochote mpk itakapogusa ardhi ndo unabalance isitoke kwenye njia yake.
Sio rahisi hivi kaka ndo masna ada yake iko juuUrubani wala sio mgumu hivyo kama watu wadhaniavyo hata wewe wawesha shusha ndege kwa maelekezo kidogo tu kutoka control tower.Pilot ni operator tu na masomo yao si magumu, shida huwa ni ada ya masomo ndo kubwa lkn wanachukua hata mtu mwenye form 4.
Ingekuwa kama ile precision air iliotuletea star majaliwaAsingekuwemo huyo rubani mstaafu ingekuwaje? Wawekwe tu wawili wawili aisee
utaumbuka ndugu technology itakuumbua ndege zinatofautiana kwahiyo unataka kusema niliona uongo..?😅Hakuna kitu kama hiki mzee, co pilot anaishusha vzuri tu. Hakuna kitu kinaitwa automatic landing
Mwenyezi Mungu ametoka wapi, halafu "huyo kibwengo HAYUPO"Mwenyezi Mungu ametoka wapi? Huyo kibwengo hayupo.
Mungu hayupo. Hakuna kitu kama hicho.Mwenyezi Mungu ametoka wapi, halafu "huyo kibwengo HAYUPO"
Maandishi haya tu yanadhihirisha kwamba HATA wewe unaamini kwamba Mungu yupo ila unalazimisha kua HAYUPO. Just read between the line of your own ✍️
Kwani Mungu ndio kitu gani? Halafu rejea maandishi yako, between the line una amini yupo ila mdomoni unailazimisha akili iseme hayupo na akili yako wewe mwenyewe inakukatalia. Maandishi yako mwenyewe yanaongea lugha tofautiMungu hayupo. Hakuna kitu kama hicho.
Achana na mambo ya kipumbavu ya Between the lines, between the lines kitu gani? Nimekwambia kitu kinaitwa Mungu ambacho kinahubiriwa na dini hakipo,. Mungu hayupo. Mambo ya between the lines yanahusiana nini na nilichokisema?Kwani Mungu ndio kitu gani? Halafu rejea maandishi yako, between the line una amini yupo ila mdomoni unailazimisha akili iseme hayupo na akili yako wewe mwenyewe inakukatalia. Maandishi yako mwenyewe yanaongea lugha tofauti
Pure energyIs roho a tangible thing?
Huko kote wapi ndugu yangu!?..hoja yetu mbona simple tuUnafahamu "the problem of evil" ni nini?
Maana labda napata tabu sana kuelezea mambo kwa sababu huelewi mambo ya msingi kabisa katika philosophy of religion.
Kwanini huyo "Mungu" ulimuhusisha na kibwengo? Kwanini hukumuhusisha na kitu ambacho HAKIPO bro? Watu wazima always huaga hatusikilizi unacho kisema na kuandika tu, tunaangalia na body language ya msemaji/mwandishi. Remember "body language speaks volumes of words than a prepared speech"Achana na mambo ya kipumbavu ya Between the lines, between the lines kitu gani? Nimekwambia kitu kinaitwa Mungu ambacho kinahubiriwa na dini hakipo,. Mungu hayupo. Mambo ya between the lines yanahusiana nini na nilichokisema?
Nimesema Mungu hayupo na hajawahi kuwepo. Hadithi za Mungu ni hadithi za sungura na fisi, ni hadithi za alinacha.Kwanini huyo "Mungu" ulimuhusisha na kibwengo? Kwanini hukumuhusisha na kitu ambacho HAKIPO bro? Watu wazima always huaga hatusikilizi unacho kisema na kuandika tu, tunaangalia na body language ya msemaji/mwandishi. Remember "body language speaks volumes of words than a prepared speech"