Rubio: Israel na Lebanon ni wahanga wa Magaidi wa Hezbollah

Rubio: Israel na Lebanon ni wahanga wa Magaidi wa Hezbollah

Sek Rubio: "Israeli na Lebanon zote zinatafuta amani kati yao. Zote mbili ni wahanga wa Hezbollah."
Israeli nao ni magaidi wakubwa kushinda hata hao Hezbollah, maana wanaua raia wasio na hatia, wanavunja nyumba za raia, wanaiba mali za watu nimeona video moja majeshi ya wazayuni wako jikoni wanakwiba ubwabwa.
 
Hapa wakijisifu jinsi wanavyoua raia wasio na hatia
 

Attachments

  • Screenshot_20260504_072715_Chrome.jpg
    Screenshot_20260504_072715_Chrome.jpg
    298.8 KB · Views: 19
Jinsi wanavyoharibu makanisa na misikiti
 

Attachments

  • Screenshot_20260504_072626_Chrome.jpg
    Screenshot_20260504_072626_Chrome.jpg
    288.1 KB · Views: 23
Hapa jinsi wanavyoharibu nyumba za raia.
 

Attachments

  • Screenshot_20260504_072544_Chrome.jpg
    Screenshot_20260504_072544_Chrome.jpg
    297.9 KB · Views: 21
Hapa wakiiba ubwabwa
 

Attachments

  • Screenshot_20260504_072444_Chrome.jpg
    Screenshot_20260504_072444_Chrome.jpg
    297.5 KB · Views: 21
Jinsi wanavyoiba mali za raia
 

Attachments

  • Screenshot_20260504_072408_Chrome.jpg
    Screenshot_20260504_072408_Chrome.jpg
    275.1 KB · Views: 19
Huo ndiyo uhalisia wenyewe.Hezbolallah wanaitikisa serikali ya Lebanon kama makebo yao.


Hezbollar ni mashetani wakubwa. Walimwua Waziri Mkuu wa Lebanon Rafiq Hariri kwa sababu ni msuni. Na serikali iliyomalizwa nguvu na hezbollah kwa msaada wa Iran, ilishindwa hata kuyakamata magaidi ya Hezbollah kwa mauaji!
 
Nyie hawa mnaowatetea mna hakika ndo wateule wa Mungu, mbona hawaheshimu Yesu wala ukristo? Niwakumbushe tu haya masanamu yapo maeneo ya Hezbollah ambao nyie mnawaita magaidi na wao hawajayagusa.
 

Attachments

  • Screenshot_20260507_102404_Instagram Lite.jpg
    Screenshot_20260507_102404_Instagram Lite.jpg
    318.2 KB · Views: 19
Sek Rubio: "Israeli na Lebanon zote zinatafuta amani kati yao. Zote mbili ni wahanga wa Hezbollah."

View attachment 3583543
Kama hezbollah ni magaidi kwanini Israel inalipua makazi ya watu tena maeneo ambayo hayajawahi kuwa na utawala wa Hezbollah? Huu unafiki tu, Israel hataki nchi za mashariki ya kati ziwe na amani au mafanikio ya kiuchumi maana yatakua na power kitu ambacho wanaona ni tishio kwao.

Ndio maana kwa sasa Israel imehamishia nguvu kupambana na uturuki ikimalizana nao itahamia kwa saudi Arabia na wengineo. Hawa vibaraka wasipojipanga mapema watashituka its too late
 
Nyie hawa mnaowatetea mna hakika ndo wateule wa Mungu, mbona hawaheshimu Yesu wala ukristo? Niwakumbushe tu haya masanamu yapo maeneo ya Hezbollah ambao nyie mnawaita magaidi na wao hawajayagusa.
Hawa jamaa hata Yesu akirudi leo watamuua tena ila bado walokole wenzangu watakua busy kuwalamba miguu na kuwaita taifa teule.

Wayahudi ni hatari sana kwa usalama wa dunia, ndio waasisi wa ugaidi.
 
Nyie hawa mnaowatetea mna hakika ndo wateule wa Mungu, mbona hawaheshimu Yesu wala ukristo? Niwakumbushe tu haya masanamu yapo maeneo ya Hezbollah ambao nyie mnawaita magaidi na wao hawajayagusa.
Aliyekudanganya Hezbollah waliyaacha hayo masanamu ni nani?

Kumbuka Hezbollah hawako kwenye vijiji vinavyokaliwa na wakristo!!

Hezbollah wanavitumia tu kama kinga vijiji hivyo!! Wanaishambulia Israel wakiwa kwenye vijiji hivyo ili tu wakishambuliwa wasema Israel inaua wakristo!!

Hakuna asiyejua magaidi daima hutumia makanisa, misikiti, Shule na mahospitali kutimiza adhima yao ya ugaidi.

Kitendo alichofanya askari huyo si msimamo wa IDF wala serikali ya Israel amefanya kama yeye na ndiyo maana kakamatwa na atashitakiwa kwa kuvunja sheria!!
 
Kama hezbollah ni magaidi kwanini Israel inalipua makazi ya watu tena maeneo ambayo hayajawahi kuwa na utawala wa Hezbollah? Huu unafiki tu, Israel hataki nchi za mashariki ya kati ziwe na amani au mafanikio ya kiuchumi maana yatakua na power kitu ambacho wanaona ni tishio kwao.
Tumia akili zako vizuri Hezbollah baada ya kuona wanashindwa vibaya kwenye maeneo wanayoya dhibiti waliamua kukimbilia kwenye maeneo ya wakristo na kuanza kurusha makombola yao kutokea maeneo wasiyo yadhibiti wao hivyo kuifanya Israel nayo kushambulia maeneo hayo hapo kosa si la Israel bali ni la magaidi wa Hezbollah kuvitumia vijiji hivyo kama kinga wasishambuliwe na Israel.

Ndio maana kwa sasa Israel imehamishia nguvu kupambana na uturuki ikimalizana nao itahamia kwa saudi Arabia na wengineo. Hawa vibaraka wasipojipanga mapema watashituka its too late
Kuhusu hizo ni Propaganda tu za waarabu kutaka kuharibu image nzuri ya Israel huko madhariki ya kati!!
 
Back
Top Bottom