Aliyekudanganya Hezbollah waliyaacha hayo masanamu ni nani?
Kumbuka Hezbollah hawako kwenye vijiji vinavyokaliwa na wakristo!!
Hezbollah wanavitumia tu kama kinga vijiji hivyo!! Wanaishambulia Israel wakiwa kwenye vijiji hivyo ili tu wakishambuliwa wasema Israel inaua wakristo!!
Hakuna asiyejua magaidi daima hutumia makanisa, misikiti, Shule na mahospitali kutimiza adhima yao ya ugaidi.
Kitendo alichofanya askari huyo si msimamo wa IDF wala serikali ya Israel amefanya kama yeye na ndiyo maana kakamatwa na atashitakiwa kwa kuvunja sheria!!