Rubio: Israel na Lebanon ni wahanga wa Magaidi wa Hezbollah

Punguza uchawa dogo
 
Ile Dhana ya " Great Israel " ni moja ya sababu hakutakuwa na Amani hapo kwa waarabu
 
Ile Dhana ya " Great Israel " ni moja ya sababu hakutakuwa na Amani hapo kwa waarabu
Hakuna kama dhana ya Great-Israel hizo ni propaganda za waarabu kutaka kuzusha chuki dhidi ya wayahudi huko Mashariki ya kati!!

Hakuna kipnhozi yeyote aliyeko madarakani alishasema kuwa Serikali ina mpango wa Great-Israel Ujinga huo huenezwa na wajinga wasiyoitakia mema Israel!!

Great-Israel ni dhana potovu na haiungwi mkono na Serikali ya Israel!!
 
Akili zako zinawaza kuolewa olewa tu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…