Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
Alama kubwa ipi hiyo?Akiwa mmoja wa waimbaji wa kike walioacha alama kubwa nchini kupitia sauti yake ya pekee na uwezo wa kutumbuiza jukwaani (LIVE show)
jiongezeAlama kubwa ipi hiyo?
Alama kubwa ipi hiyo?
Akikujobu nitagAlama kubwa ipi hiyo?
Alama ya kuuliza. 😎Alama kubwa ipi hiyo?
Angekuwa na hits nngejua tuujiongeze
Hii tuu inatosha kuwa alama kubwa?Alama hii baba labda
Ama we unaichukuliaje hii ngoma 😎
View: https://youtu.be/lCxzUuO7Ykk?si=npelK_OJriXuKtPL
Naikubali sana ngoma yake "niwaze" ft The mafik.Mwanamuziki mashuhuri nchini Tanzania, Ruby, ametangaza kuanza sura mpya ya maisha yake kwa kuamua kuacha muziki wa Bongo Fleva na kuwekeza maisha yake katika kumtumikia Mungu.
Akiwa mmoja wa waimbaji wa kike walioacha alama kubwa nchini kupitia sauti yake ya pekee na uwezo wa kutumbuiza jukwaani (LIVE show), Ruby amekuwa akionyesha mabadiliko ya kiroho kwa muda sasa. Kupitia kauli na maisha yake ya hivi karibuni, msanii huyo ameweka wazi uamuzi wake wa kuingia kwenye huduma na kumfuata Yesu Kristo.
Uamuzi huo unagonga fikra za mashabiki wengi waliomfuatilia kwa miaka mingi, huku wengi wakimtakia kheri katika safari yake mpya ya kiroho licha ya kwamba sauti yake na nyimbo zake zitaendelea kukumbukwa kwenye tasnia ya burudani.
View attachment 3655933
Unataka iwe kubwa kama kovu uliloachiwa na uso wa mbuzi wako😁Hii tuu inatosha kuwa alama kubwa?
Halafu wanasema wameacha alama kubwa huko bongo fleva 😂Bongo fleva ikiwashinda wanajifanya wameokoka.!
Ww lazima ipo siku ntakupiga miti tuu 😎Unataka iwe kubw akama kovu uliloachiwa na uso wa mbuzi wako😁
Unampima vipi mtu ni wife material au wa kula naye bata kwa kuona nyimbo zake tu?Nje ya mada kidogo!
Ruby ni mwanamziki mzuri, napenda nyimbo zake.
Japo sivutiwi naye kimapenzi.
Ningekuwa na uwezo ningemuoa maua sama, yule ni wife material kabisa.
Au kama Kwa kula Bata basi Linah Sanga anamaliza shida zote .
Sasa kama huvutiwi nae kimapenzi, sisi tufanyaje? Au aliletwa duniani kukuvutia kimapenziNje ya mada kidogo!
Ruby ni mwanamziki mzuri, napenda nyimbo zake.
Japo sivutiwi naye kimapenzi.
Ningekuwa na uwezo ningemuoa maua sama, yule ni wife material kabisa.
Au kama Kwa kula Bata basi Linah Sanga anamaliza shida zote .
Kwa uboo huu huu wa ukojozaji