Ruby Aamua Kuacha Muziki wa Bongo Fleva na Kumrudia Yesu

Ruby Aamua Kuacha Muziki wa Bongo Fleva na Kumrudia Yesu

Hata Mr Nice katika harakati za kujinasua baada ya kufulia aligeukia upande huu wa gospel.

Huwa ni "a last kick of a dying horse".
 
Tatizo lilianzia kwenye kujiona mrembo zaidi ya wengine.
Laana ya boyfriend wake pia inachangia.

Baada ya kutoa wimbo wa Na yule na kufanikiwa kuwa maarufu alimpiga chini boyfriend wake kisa ameshakuwa star.
 
Laana ya boyfriend wake pia inachangia.

Baada ya kutoa wimbo wa Na yule na kufanikiwa kuwa maarufu alimpiga chini boyfriend wake kisa ameshakuwa star.
Alijichanganya sana, hope now ana mwanaume aliyekusudia kumpata😎
 
Mwanamuziki mashuhuri nchini Tanzania, Ruby, ametangaza kuanza sura mpya ya maisha yake kwa kuamua kuacha muziki wa Bongo Fleva na kuwekeza maisha yake katika kumtumikia Mungu.

Akiwa mmoja wa waimbaji wa kike walioacha alama kubwa nchini kupitia sauti yake ya pekee na uwezo wa kutumbuiza jukwaani (LIVE show), Ruby amekuwa akionyesha mabadiliko ya kiroho kwa muda sasa. Kupitia kauli na maisha yake ya hivi karibuni, msanii huyo ameweka wazi uamuzi wake wa kuingia kwenye huduma na kumfuata Yesu Kristo.

Uamuzi huo unagonga fikra za mashabiki wengi waliomfuatilia kwa miaka mingi, huku wengi wakimtakia kheri katika safari yake mpya ya kiroho licha ya kwamba sauti yake na nyimbo zake zitaendelea kukumbukwa kwenye tasnia ya burudani.

View attachment 3655933
Eti mtu anasema "screpa imerudi Gereji"
 
Back
Top Bottom