Ruby Aamua Kuacha Muziki wa Bongo Fleva na Kumrudia Yesu

Nje ya mada kidogo!

Ruby ni mwanamziki mzuri, napenda nyimbo zake.

Japo sivutiwi naye kimapenzi.

Ningekuwa na uwezo ningemuoa maua sama, yule ni wife material kabisa.

Au kama Kwa kula Bata basi Linah Sanga anamaliza shida zote .
Kwa nini unataka kuvitiwa naye kimapenzi ??
 
Hit songs zake hazizidi tano tangu aanze muziki .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…