Ruby Aamua Kuacha Muziki wa Bongo Fleva na Kumrudia Yesu

😂 Sure namna alivyoandika Kwa kujiamini halafu manzi zenyewe ma'make up mengi na bado hazina mvuto
Uzuri wa mtu upo machoni pa mtu mkuu!
Kama ningekuwa na uwezo ningeenda kumuoa maua sama,

Pengine sijapenda umbo lake au sura yake utajuaje?
Tangia nianze kumjua maua sama miaka yote namuona kama ni wife material kwangu.

Linah Sanga pia anafaa Kwa matumizi Sana tu.
Mimi hao ndiyo superstar ambao hata uniamshe kutoka kwenye ndoto nitawataja wananivutua kimapenzi
 
Hata Mimi niliona hivyo sema sikutaka kumwambia angejisikia vibaya
We naye acha zako basi, unanihurumia kwani unanijua au nakujua? 🤣🤣🤣
Wewe niambie tu Kwani ukiniambia nitakufa au.
Kila mtu ana namna ya anavyovutiwa na wanawake.
Kwa Tanzania staa wa kike hao Kwangu ndiyo Moja na mbili wanaonivutia
 
Takbirrrrrrrrrrrrr!!! Allahu Akbar.
 
Hahaha Mkuu Mimi ni humanitarian, najali Jinsi wengine wanachojisikia sijali nakufahamu au nakujua vipi
 
Hahaha Mkuu Mimi ni humanitarian, najali Jinsi wengine wanachojisikia sijali nakufahamu au nakujua vipi
Sawa mkuu, mimi nikisema nioe staa basi namuoa maua sama, na nikitaka kuwa na mchepuko basi namchukua Linah Sanga
 
Hongera sana Ruby umechagua fungu lililo jema, kwa Mwenyezi Mungu hakuna linaloshindikana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…