Wote nung'aembe tuNje ya mada kidogo!
Ruby ni mwanamziki mzuri, napenda nyimbo zake.
Japo sivutiwi naye kimapenzi.
Ningekuwa na uwezo ningemuoa maua sama, yule ni wife material kabisa.
Au kama Kwa kula Bata basi Linah Sanga anamaliza shida zote .

Inatosha sana akili na aibu mtatumia zako. Ng'ang'ana nae mpende na kumlinda kwa wivu mkubwa mno!Huyu pesa na nguvu za kiume ndio hana!
Ukiishi na Jeraha lisilopona hua linautesa sana moyoUamuzi huo unagonga fikra za mashabiki wengi waliomfuatilia kwa miaka mingi, huku wengi wakimtakia kheri katika safari yake mpya ya kiroho licha ya kwamba sauti yake na nyimbo zake zitaendelea kukumbukwa kwenye tasnia ya burudani.
Alama hii baba labda
Ama we unaichukuliaje hii ngoma 😎
View: https://youtu.be/lCxzUuO7Ykk?si=npelK_OJriXuKtPL
Wakishaona bongo flavour imebuma wanahamia kwenye gospel kujaribu bahati. Fuatilia wasanii wengi waliohamia kwenye gospel baada ya kukataliwa nini kilifuatia. Business as usualMwanamuziki mashuhuri nchini Tanzania, Ruby, ametangaza kuanza sura mpya ya maisha yake kwa kuamua kuacha muziki wa Bongo Fleva na kuwekeza maisha yake katika kumtumikia Mungu.
Akiwa mmoja wa waimbaji wa kike walioacha alama kubwa nchini kupitia sauti yake ya pekee na uwezo wa kutumbuiza jukwaani (LIVE show), Ruby amekuwa akionyesha mabadiliko ya kiroho kwa muda sasa. Kupitia kauli na maisha yake ya hivi karibuni, msanii huyo ameweka wazi uamuzi wake wa kuingia kwenye huduma na kumfuata Yesu Kristo.
Uamuzi huo unagonga fikra za mashabiki wengi waliomfuatilia kwa miaka mingi, huku wengi wakimtakia kheri katika safari yake mpya ya kiroho licha ya kwamba sauti yake na nyimbo zake zitaendelea kukumbukwa kwenye tasnia ya burudani.
View attachment 3655933
Mimi kikubwa ninachongalia ndio hana!Inatosha sana akili na aibu mtatumia zako. Ng'ang'ana nae mpende na kumlinda kwa wivu mkubwa mno!
Kipi hicho tofauti na pesa!Mimi kikubwa ninachongalia ndio hana!
Kaogopa ushindani na maGEN-Z kaamua kuhamishia majeshi upande ule ili awaburuze tena, tunaijua hii tabia sio mpya, hata uko atataka kuwaimbia tu, hili sio jipya.Akikujobu nitag
Urembo gani she is just 3/10Tatizo lilianzia kwenye kujiona mrembo zaidi ya wengine.
Ule ule nautumia kama kitega uchumiView attachment 3656004
Anzisha uzi mwingine!
Lako 😎Taco lako au?
Hata kama n hater wake ila huyu huwez kumtoa kwenye kizazi cha sasa hv cha wanawake wanaofanya vzrAkili za gen zero
Kwenye nyimbo zote umeona h tuu?Huyu anaimba sijui
"Ukiona chasimama jua kinataka kinyama
Ukiona kimelala lala hakikuachi salama
Ukiona chasimama jua kinataka kinyama
Ukiona kimelala lala hakikuachi salama
Eh mama, kitu kitu iyee kitu kitu
Mama kitu kitu kituu, kitu
Eh mama, kitu kitu iyee kitu kitu
Mama kitu kitu kituu, kitu..."
Ndo huyu au kuna mwingine?
Wakishapigwa na kitu kizito...ama kuukwaa...ndipo wanakumbuka sanctuaryMwanamuziki mashuhuri nchini Tanzania, Ruby, ametangaza kuanza sura mpya ya maisha yake kwa kuamua kuacha muziki wa Bongo Fleva na kuwekeza maisha yake katika kumtumikia Mungu.
Akiwa mmoja wa waimbaji wa kike walioacha alama kubwa nchini kupitia sauti yake ya pekee na uwezo wa kutumbuiza jukwaani (LIVE show), Ruby amekuwa akionyesha mabadiliko ya kiroho kwa muda sasa. Kupitia kauli na maisha yake ya hivi karibuni, msanii huyo ameweka wazi uamuzi wake wa kuingia kwenye huduma na kumfuata Yesu Kristo.
Uamuzi huo unagonga fikra za mashabiki wengi waliomfuatilia kwa miaka mingi, huku wengi wakimtakia kheri katika safari yake mpya ya kiroho licha ya kwamba sauti yake na nyimbo zake zitaendelea kukumbukwa kwenye tasnia ya burudani.
View attachment 3655933
Hapana, je kuna tatizo ukitumika huu tu ?Kwenye nyimbo zote umeona h tuu?
Sio tatizo mana n nyimbo yake piaHapana, je kuna tatizo ukitumika huu tu ?
HakipoKipi hicho tofauti na pesa!