Ruby ampa za uso Diva

diva anajishaua...nakumbuka video yake ruby ilivyotoka ya kwnz "Na yule" alikuwa anaicheza na kuisifia kila Mara ...leo et hamjui ...Looooo
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] kazi kweli kweli...!!
 
ruby ni mzuri tatizo ni pasi daaa kweli Mungu hakupi vyote.
 
Nahisi huyu Diva hajapata bwana wa kumkuna kiukweli. Ana tabia za kinyege nyege.
 
Toka Ruby aachane na Mawingu kila anacho ongea naona ni point
Kuna vijana wasio na vision walimtabiria mabaya dada wa watu kisa ameikataa fiesta,ndo nikaamini vijana wa kitanzania ni wazembe wa kufikiri,kuna redio almost 90 unawezaje kufikiri huyu bint ataporomoka?Jana nimeskia ngoma zake zikichezwa East Africa Radio na EFm, bado tu mtu anaiwazia clouds?na nimeskia matangazo ya shows zake........Mtoto wa watu amethubutu,kipaji chake yeye ila baadhi ya wajinga wanampangia.Nampa Kongole
 
Kwakweli hii mawingu fm na prizentaz wake wote wanataka wawe wanaabudiwa...Big up Ruby...wapite ivi[emoji124] [emoji124]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…