duuuuhhh... yupo tofauti na sauti yakeView attachment 401894
Ndo kenyewe, yaani ukimcheki kwenye ile video kama bekitatu
Wewe kwanini hufungiwii?!😀😀😀😀😀😀
At least you 'hate' her intelligently [that is if there's such a thing anyway].
Mwaka Mmoja mwingi, wakina recho wako wapi?! Nyie mnampa kichwa lkn Rubi bado hajawa na power ya kusimama mwenyewe na hiyo efm iko dar tu, ila clouds inasikia Afrika mashariki huoni utofauti hapo, mm binafsi sio shabiki wa mawingu lkn kwenye ukweli unasemwa clouds ndo media ya burudani no moja Tz .. So ruby simpi asilimia nyingi kwamba ataweza peke yake bado Hana power ya kutosha anapotoshwa na wasomtakia mema, wote wakina Fid, nick, Ben pol sio wajinga they know what they are doing na wanatengeneza fan base kupitia fiesta .. Sasa Ruby akipata followers kadhaa insta anajiona ashamalizaNapenda tumsimamo twa Ruby angekuwa karibu ningemzawadia debe la mchele walah , kaiacha mibaba mizima na midevu yao inaiabudu clouds kama Mungu.....ohhhh bila clouds siwezi ishi nani kasema ...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] duh shame!
NdiooKumbee
Mwaka Mmoja mwingi, wakina recho wako wapi?! Nyie mnampa kichwa lkn Rubi bado hajawa na power ya kusimama mwenyewe na hiyo efm iko dar tu, ila clouds inasikia Afrika mashariki huoni utofauti hapo, mm binafsi sio shabiki wa mawingu lkn kwenye ukweli unasemwa clouds ndo media ya burudani no moja Tz .. So ruby simpi asilimia nyingi kwamba ataweza peke yake bado Hana power ya kutosha anapotoshwa na wasomtakia mema, wote wakina Fid, nick, Ben pol sio wajinga they know what they are doing na wanatengeneza fan base kupitia fiesta .. Sasa Ruby akipata followers kadhaa insta anajiona ashamaliza
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] nimecheka Sana asee, sura kama shangaz kajaKiingia mjini si haramu.
Ana sura kama "shangazi kaja"
Hahahaaa huyo ruby mbona usoni na mikono , ni Pepsi na mirinda[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kupatwa kwa sura ya ruby ila kamekomaaMsanii aliyekuwa THT Ruby akiwa anahojiwa kuhusu mtangazaji wa clouds Diva kusema kuwa hamfahamu amesema mtangazaji huyo anazeeka vibaya
Pia msanii huyo amefunguka kuhusu uhusiano wakae na radio E Fm ambao ni hasimu wa radio Clouds na kusema kuwa yeye anapokea sapoti kutoka kwenye media yoyote kwa kuwa ni msanii na anahitaji media
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mm mwenyewe namuulizia maana cmjuiHuyo ruby nae ni nani huko mjini Dar
Kana mashauzi na kenyewe mm hata cmfagilii hata mmoja hapoRuby ni mpuuzi wa mwaka wakati ameanza kujulikana baada ya diva kumpa air time katika kipindi chake cha ala za roho leo anasema anamuona kama mtoto ni mjinga huyooo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nakumbuka siku ya kwanza anatambulisha ile nyimbo yake ya nayule iliyompa bichwa alikua kwenye kipindi cha ala za roho ,na aliulizwa swali moja kama amesha wahi kupigwa dushe akasema yeye ni bikra ,pia mwanaume aliekua nae mwanzo aliishia kumpiga busu tu tena la shavuni ,sasa anavyosema diva anamuona kama mtoto ni mpuuzi huyo ruby na kalikua keusi kinoma now kamepata vipodozi anajifanya anajeuri
Umeonaee, mm yangu macho namuonea huruma huyu rubyHajui kwamba kupata followers laki insta sio kwamba ndio Africa nzima wanamjua ,maana karibu ya asilimia 65 ya watanzania milioni 50 wanatumia mitandao ya kijamii so bado sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi kwa hawa followers laki mbili ndio analeta fuujo zote hizi huyu kweli nyokolro
Kana mashauzi na kenyewe mm hata cmfagilii hata mmoja hapo
Diva ndiye nani?
Hahahaaa huyo ruby mbona usoni na mikono , ni Pepsi na mirinda[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kupatwa kwa sura ya ruby ila kamekomaa
Diva ungekuwa nzuri sijui.....diva hana uzuri wowote.. Mie hata akivua mbele yangu siwezi kusimamishaaa
Huyo ruby nae ni nani huko mjini Dar