Ruby ampa za uso Diva

Ruby ampa za uso Diva

Napenda tumsimamo twa Ruby angekuwa karibu ningemzawadia debe la mchele walah , kaiacha mibaba mizima na midevu yao inaiabudu clouds kama Mungu.....ohhhh bila clouds siwezi ishi nani kasema ...
Mwaka Mmoja mwingi, wakina recho wako wapi?! Nyie mnampa kichwa lkn Rubi bado hajawa na power ya kusimama mwenyewe na hiyo efm iko dar tu, ila clouds inasikia Afrika mashariki huoni utofauti hapo, mm binafsi sio shabiki wa mawingu lkn kwenye ukweli unasemwa clouds ndo media ya burudani no moja Tz .. So ruby simpi asilimia nyingi kwamba ataweza peke yake bado Hana power ya kutosha anapotoshwa na wasomtakia mema, wote wakina Fid, nick, Ben pol sio wajinga they know what they are doing na wanatengeneza fan base kupitia fiesta .. Sasa Ruby akipata followers kadhaa insta anajiona ashamaliza
 
Hajui kwamba kupata followers laki insta sio kwamba ndio Africa nzima wanamjua ,maana karibu ya asilimia 65 ya watanzania milioni 50 wanatumia mitandao ya kijamii so bado sana
 
Msanii aliyekuwa THT Ruby akiwa anahojiwa kuhusu mtangazaji wa clouds Diva kusema kuwa hamfahamu amesema mtangazaji huyo anazeeka vibaya
Pia msanii huyo amefunguka kuhusu uhusiano wakae na radio E Fm ambao ni hasimu wa radio Clouds na kusema kuwa yeye anapokea sapoti kutoka kwenye media yoyote kwa kuwa ni msanii na anahitaji media

Hahahaaa huyo ruby mbona usoni na mikono , ni Pepsi na mirinda[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kupatwa kwa sura ya ruby ila kamekomaa
 
Ruby ni mpuuzi wa mwaka wakati ameanza kujulikana baada ya diva kumpa air time katika kipindi chake cha ala za roho leo anasema anamuona kama mtoto ni mjinga huyooo
Kana mashauzi na kenyewe mm hata cmfagilii hata mmoja hapo
 
Hivi kwa hawa followers laki mbili ndio analeta fuujo zote hizi huyu kweli nyokolro
 
Attachments

  • 1474808207102.jpg
    1474808207102.jpg
    57.7 KB · Views: 45
Nakumbuka siku ya kwanza anatambulisha ile nyimbo yake ya nayule iliyompa bichwa alikua kwenye kipindi cha ala za roho ,na aliulizwa swali moja kama amesha wahi kupigwa dushe akasema yeye ni bikra ,pia mwanaume aliekua nae mwanzo aliishia kumpiga busu tu tena la shavuni ,sasa anavyosema diva anamuona kama mtoto ni mpuuzi huyo ruby na kalikua keusi kinoma now kamepata vipodozi anajifanya anajeuri
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hajui kwamba kupata followers laki insta sio kwamba ndio Africa nzima wanamjua ,maana karibu ya asilimia 65 ya watanzania milioni 50 wanatumia mitandao ya kijamii so bado sana
Umeonaee, mm yangu macho namuonea huruma huyu ruby
 
Kana mashauzi na kenyewe mm hata cmfagilii hata mmoja hapo

[emoji1] bora ya diva ana title kidogo anaringa na followers milioni moja wa kutafutiwa ila sio huyo mbuby hata watu laki tatu Tanzania hawamjui
 
Hahahaaa huyo ruby mbona usoni na mikono , ni Pepsi na mirinda[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kupatwa kwa sura ya ruby ila kamekomaa

[emoji24][emoji24][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ruby ni double colour [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Diva ungekuwa nzuri sijui.....diva hana uzuri wowote.. Mie hata akivua mbele yangu siwezi kusimamishaaa

Wacha mambo yako wewe hutakuwa rizki wewe ile sauti tu lazima usimamishe sio lazima papuchi yake
 
Back
Top Bottom