RUBY ana Trauma na Depression, wanaomponda Ruby ni wajinga na ndio wamejaa kwenye familia zetu na maofisini

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
9,137
Reaction score
34,793
Habari wadau.

Nazani wengi tumeona trending za msanii wa kike Ruby.

Binafsi najua ruby amekosea ila kuna kitu nimekigundua na kumuelewa ruby.


Historia ya maisha ya ruby tu imempa hasira hasira.

Mtoto alielelewa kwa upendo wa baba na mama ana tofauti na mtoto alielelewa kwenye familia isiyo na upendo.

Ruby baba yake na mama yake hawaelewani.. ni walipigana mimba tu kila mtu akala kona.

Mama yake na ruby nae maisha alifeli ikapelekea ruby kulelewa na watu baki. Bila baba na mama.

Hiyo tu inaonesha ruby alifungwa goli 2 - 0 toka anazaliwa. Baba hajalea na mama hajalea..hapo kwa mtoto ni 2 - 0.

Ruby huyo huyo kapigwa mimba na Kussa kisha akaachwa. Akawa single mother hapo tayari goli 3 - 0 Trauma nyingine ikaja

Baada ya kussa kusepa kapata bwana mwingine nae bila ndoa kamzalishwa mtoto wa pili. Hapo tena 4 - 0.. trauma ya kuwa na watoto wawoli wa baba tofauti bila ndoa inamtesa.

Hapo ruby lazima awe na hasira hasira tu na msongo wa mawazo

Ruby huyo huyo anafananishwa na nandy.. ambaye anatoka familia inayoeleweka yenye upendo wa baba na mama.

Nandy hana trauma yoyote ya kifamilia ( wazazi).

na hata kwenye biashara ya muziki nandy muda wote kazungukwa na watu wanaojua kumuandikia nyimbo. Kumfanyia promo. Kuanzia enzi yupo na ruge mpaka leo yupo na billnass

Ana mume nandy sio single mother. Akili imetulia baba na mama wapo kwenye ndoa... baba mkwe wa nandy na mama mkwe yaani wazazi wa billnass nao wapo kwenye ndoa.. kwa levo za kifamilia familia nandy ana full of family life pande zote

Nandy Akitaka wimbo... anaandikiwa tu na billnass, unatoka hit song

Ruby akitaka wimbo anashika pen na karatasi anajiandikia.. wimbo unatoka kona kona tu.

HAPO RUBY LAZIMA AWE NA HASIRA HASIRA TU KUTOKANA NA MSONGO WA MAWAZO NA TRAUMA..

Anayopitia ruby hata vijana wengi mtaani wanapitia hasa unemployed graduates waliokulia familia duni zisizo na upendo
 
Unazungumza nini mkuu?

Life is about Choices...

ujinga afanye yeye uje usingizie malezi..

Wakiwa wanadate sura za wanaume wenzao wana date future..

Analalama kukosa support ya mtu ambae anamtukana... nani anampa chakula cha watoto mbwa.

hudai dunia kitu chochote.. ni wajibu wako kujipendekeza kinafiki kufikia malengo yako.

This life of you is 100% your responsibility..
 

Kuna kitu umeongea halafu umechanganya tena na upuuzi..
Hukuwa na sababu za kumtaja Nandy..
Kama kukosa upendo wa Baba mbona Diamond,Ommy Dimpoz na wengine karibu wote wanatoa hits?

Wewe Una uhakika Nandy ana yote uliyosema Kwa kumuangalia kupitia social media?
Si juzi Tu mlikuwa mnasema Zamaradi ana kila kitu kupitia social media?

Inawezekana Una point kuhusu matatizo ya Ruby lakini mengineyo umeongeza chumvi sana...

By the way karibu kila Mtanzania katoka familia duni....mbona Wengi wako Okay....

Inawezekana kweli ana mental health issues lakini sio kweli inamzuia kutoa hits .....wapo watu wanatafuta wasanii wa kuwaandikia nyimbo....Kwa malipo......
 
Kumbe ni single mother/mzee, huenda alimlengeshea boss pussy bossy akapotezea!!

Nafikiri boss anauwezo/ nafasi kubwa ya kupata nzuri pussy/mapussy namba E&D

Kama umesema anamtatizo ya akili nashauri apelekwe hospitali
 
Ruby Bora angeandika ndio aongee, ameongea kishamba sana, nilivokuwa namsikiliza ni kama katumbili fulani wenye rangi kama ya moto hivi, kabla nilidhani kademu ka kwenye dangulo kanalipuka mapepo
Dah aisee! Kubabakee kweli wachawi siku hizi sio wazee
 
Malipo ni hapa hapa duniani.

Huyo Ruby alimbwaga bwana yake alipopata umaarufu tu akamuona mshikaji si chochote si lolote.
 
Wanaume mbona mna hasira na ruby.
 
Visingizio...
Visingizio...
Visingizio...

Apambane na hali yake asimalizie hasira zake kwa wengine.
 
Habari za mental disease watu wanaziparamia sana. Usijaji identity mana identity nyingine zinamatch na vigezo vya mental collapse. Psychiatrist wengi sio compitent!

Post traumatic experience sio complete conclusion kuwa tayari mtu Huyu ni mgonjwa na anahitaji spana kukontrol mood!

Mm sikubaliani na vigezo vilivyotumika kumweka hapo
 
Oooh Kumbe ana stress, basi mwambieni aendelee aendelee na ujinga wake , inaweza ikamsaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…