Kuna kitu umeongea halafu umechanganya tena na upuuzi..
Hukuwa na sababu za kumtaja Nandy..
Kama kukosa upendo wa Baba mbona Diamond,Ommy Dimpoz na wengine karibu wote wanatoa hits?
Wewe Una uhakika Nandy ana yote uliyosema Kwa kumuangalia kupitia social media?
Si juzi Tu mlikuwa mnasema Zamaradi ana kila kitu kupitia social media?
Inawezekana Una point kuhusu matatizo ya Ruby lakini mengineyo umeongeza chumvi sana...
By the way karibu kila Mtanzania katoka familia duni....mbona Wengi wako Okay....
Inawezekana kweli ana mental health issues lakini sio kweli inamzuia kutoa hits .....wapo watu wanatafuta wasanii wa kuwaandikia nyimbo....Kwa malipo......