RUBY ana Trauma na Depression, wanaomponda Ruby ni wajinga na ndio wamejaa kwenye familia zetu na maofisini

Hakika mkuu
 
Kanichosha kumuingiza Nandy, alitaka kumpaisha nandy wake na hakua pa kusemea, ndo akaona ampambe hapa. Lol
 
Joannah
 
Tatizo kubwa la ruby ni kibri na ujeuri kama aligombana mpaka na ruge aliyemtoa mavumbini huko itakuwa majizo yule ana kibri sio cha kawaida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulivyoandika utadhani wote tupo hivyo vijiwe vya umbea,wapi klip akinena kwa lugha mkuu?
 
Ingawa sijasoma uzi wako na huyo Ruby simjui ila ninaendelea kufahamu utaalamu wa Watanzania kujua maisha ya mtu kuliko mtu mwenyewe....

Yaani na diagnosis wanatoa kabisa...; nadhani hii nchi tuna wataalamu wengi sana wa maisha ya watu...
 
Anayopitia ruby hata vijana wengi mtaani wanapitia hasa unemployed graduates waliokulia familia duni zisizo na upendo[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…