Ruby! sifa zimemponza

unamwiga jide ataweza. hivi akisema aandae show ya peke yake yeye ndo kama msanii mkuu ataweza.

haukua mda sahihi wa yeye kuleta kiburi.
angejifunza kwa dogo janja. alileta jeuri mwisho wa siku aligundua kakosea wapi akarekebisha sasa hivi anakula matunda.
 
Ruge alisema huo wimbo alitunga yeye Ruge akishirikiana na Barnaba
sijawahi sikia Ruby akikanusha hiyo


kama hadi nyimbo walimtungia huwezi sema hawana haki ya kumtumia....
Ruge ni attention seeker ndo maana anajiombea interview mwenyewe clouds anapenda aonekane mwema na nyimbo aliyoisema sio hiyo wale wale
 
kuna baadhi ya wasanii bila kushikwa mkono hawawezi kusimama wenyewe.Rubby ni mmoja wao sijui anapata wapi jeuri ya kutaka kusimama mwenyewe wakat miguu haina nguvu...wacha avunje meno sasa...
 
kuna baadhi ya wasanii bila kushikwa mkono hawawezi kusimama wenyewe.Rubby ni mmoja wao sijui anapata wapi jeuri ya kutaka kusimama mwenyewe wakat miguu haina nguvu...wacha avunje meno sasa...
Kabemendwa? Na nani? [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
Ana kipaji, ndio! Ana sauti nzuri, ndio! Sema hapo kwenye mvuto naona unatuingiza Chaka. Au unatania Tu?
Mkuu wewe unaona Hana mvuto lakini wengine wanamwelewa hii ni moja ya picha yake akiwa kwenye vazi la ufukweni!
 
Mie namshauri arudi kwa Jesca BM akaimbe Gospel !!!!
Uku kwa kina Ruge siyo mchezo ni balaa japo mie sina hakika ila nasikia watu wanalalamika lalamika.
 
Shilole mama ntilie[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…