Ruby! sifa zimemponza

Ana kipaji, ndio! Ana sauti nzuri, ndio! Sema hapo kwenye mvuto naona unatuingiza Chaka. Au unatania Tu?
Hahahaa.....kama hakuvutii, ujue hajaumbwa rasmi kwa ajili yako mkuu......mwenzio ana mchumba alomvutia.....
 
Kwahyo Ruby ndiye nwenye shida? Alishasajiliwa fiesta mara ghafla akajitoa mbona hutuambii kilitokea nini?
 
Mwenzie jide Ana pesa na Ana mashabiki pamoja na watu wazito waliomzunguka mwenzangu na mie hata rafik na diwani hana anataka kupambas na clouds
binamu simu yako imekufa tachi karekebishe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] maana si kwa michapio hii
 
Ruge ni moja wa watu ninao wakubali sana, Mungu ampe maisha marefu
 
Ruge ni moja wa watu ninao wakubali sana, Mungu ampe maisha marefu
 
Nilijua tu hatafika popote, aende E fm akajisajili kidogo atapata nafuu kwingine sidhani
 
Hilo jina la RUBY lenyewe alipewa na RUGE Mutahaba,akaandikiwa nyimbo zote kasoro WALEWALE...

Aliandikiwa mashairi yote na Ruge,kuanzia na NA YULE,FOREVER.

Safari yake ya muziki ilianzia FIESTA kwenye shindano la SUPER NYOTA kule MWANZA...Angeondoka kistaarabu clouds mbona Ruge angemuelewa tu?!Nyodo zinampoza

Nakumbuka hata Mkubwa Fella alipata kusema juu ya nyodo za Ruby,kwenye video ya SU aliyoshirikishwa na YAMOTO BAND,miezi miwili anawazungusha kushoot video..mpaka Yamoto ikabidi wamtafute dada mwingine tofauti na Ruby ndio akashoot kipande cha Ruby..anadharau sana Ruby

Kuondoka clouds siyo yeye wa kwanza ameondoka,angeondoka kwa ustaarabu basi na akapata baraka kwa waliomsaidia,lakini Ruby ameondoka kwa kutoa kashfa kubwa Clouds kisa jeuri ya EFM!!

Ngoja aisome namba sasa..
 
Hapo kwe mvuto.. hapana aiseee.. hana hata kidogo.. 00%

Kuimba sawa, ila mvuto, kakosa kabisa..!! mgumuuu, mkavuu kama mihogo ya kuchoma,
hapana asiee
 
Mziki wa bongo upo chini ya fella,Tale na Ruge sasa huyu dada anagombana na 2 kati yao..pumbav tumsahau tu
 
Kweli kabisa mkuu umenena kwa kipaji cha barnaba alitakiwa awe na mafanikio zaidi ya aliyonayo sasa..... uzuri ni kwamba barnaba mwenyewe amejitambua anajituma sana na anakubalika bila hata influence ya mawingu otherwise angekuwa ametumika na kupotea kabisa... Ni mtazamo tu
 
Ruge ana roho mbaya sana
Nina ukakika 100% hujawahi hata kumuona kwa sura achilia mbali kumjua.Utasemaje mtu ana roho mbaya wakati hakuna chochote kinachowaunganisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…