Rudeboy ashauri wanaume pia kukataa uhusiano wowote wa kimapenzi na mwanamke fukara!

raha yako uaminishe watu tunafahamiana sioπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸΎ
Ndio naona itakua hivo soon as possible πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Uzi ulikua mzuri ila umeshanajisiwa na matahira fulani,[emoji706]

Btw, namsapoti RudeBoy suala la utafutaji liwe kwa wote, wanawake waache kua tegemezi, zama zimebadilika.
Na hapo ndo haki ya mwanamke inaweza kua balanced.
Imagine mwanamke unanyumba yako mwenyewe, investments zako za kutosha, na usafiri wa maana, unadate na mtu mwenye ivo vitu pia.
Hapo hata mkigombana kila mtu anabaki kwake hakuna kuingiliana wala kuvutana.
Shida ya wanawake ni ukishamtongoza then ananza kukupa majukumu yake ata kama anahela hutoshika , then yeye analayback alafu bado atataka usimpelekeshe kumpangia namna ya kuishi.
 
nani amfate mwenzie sasaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Unataka mambo yawe magumu ms R
 
Hatari aisee
 
Mkuu usiamishe magoli, hayo masuala ya tabia na kazi za nyumbani hayajaongelewa hapa. Hoja iliyopo mezani ni hela. Ukitaka mwenye hela na wewe uwe nazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…