Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Hii kitu wanaume tukiitikia wito wadada wengi sana mjini watakondeana kwa njaa na kukosa sehemu za kuishi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee 😂kwa Tz sahau, ombaomba kila kona
utapiga nyeto mpaka ukome
😀😀😀😀 uyo rude boy mwenyewe si ajabu ana kidemu chake masikini akipewa mauno anamwaga tu hela, mwanaume wa kiafrika akiwa na hela mfukoni hauwezi kumpa nasaha zozote kuhusu ngono na akakuelewa.Huo ni ushauri mzuri Sana ila tatizo lipo Kwenye utekelezaji sasa
Wala sijahamisha magoli usijitoe ufahamu, kama wanaume mnataka kushindana na wanawake kuangalia sifa kama ambazo wao wanaziangalia kwenu, basi ifike pahala hata wanawake nao waanze kuangalia sifa kama mnazoziangalia kwao simple as thatMkuu usiamishe magoli, hayo masuala ya tabia na kazi za nyumbani hayajaongelewa hapa. Hoja iliyopo mezani ni hela. Ukitaka mwenye hela na wewe uwe nazo.
We jifariji tu yani kwa akili yako unafikiri na wanaume masikini mtapata wanawake wenye hela, yani mwanamke wa kishua kabisa akubali kuwa na mwanaume kapuku asiye na mchango wowote kwake, kiuhalisia kauli ya huyo jamaa imewalenga wanaume wenye hela ninyi wengine mtaishia kwa hawa hawa mnaowaita kausha damuHii kitu wanaume tukiitikia wito wadada wengi sana mjini watakondeana kwa njaa na kukosa sehemu za kuishi
wewe ndio haujamuelewa jamaa. Kamaanisha usidate na mwanamke masikini yaani hata asipokua tajiri angalao anao uwezo wa kujitosheleza kwa mahitaji yake. Kauli yake sio mahususi kwa wenye hela peke yao hata sisi wenye uwezo wa kawaida ni walengwa pia. Mademu wa kishua mbona tunapiga tangu olevel mkuu tena wanakuja wao wenyewe magetoniWe jifariji tu yani kwa akili yako unafikiri na wanaume masikini mtapata wanawake wenye hela, yani mwanamke wa kishua kabisa akubali kuwa na mwanaume kapuku asiye na mchango wowote kwake, kiuhalisia kauli ya huyo jamaa imewalenga wanaume wenye hela ninyi wengine mtaishia kwa hawa hawa mnaowaita kausha damu
Ni kweli mkuu hii sera ya 50/50 inapiga kila upande kuna mambo ambayo wanawake ni ngumu kukubaliana nayo vile vile kuna ambayo wanaume ni ngumu kukubaliana nayo tukisema tuanze kuorodhesha moja moja hatutamaliza leo kwaiyo tulenge kwenye mada iliyopo mezani. Hoja ya rudeboy inahusu hela sio hayo masuala ya tabia, kuchepuka au kuwa sabmissiveWala sijahamisha magoli usijitoe ufahamu, kama wanaume mnataka kushindana na wanawake kuangalia sifa kama ambazo wao wanaziangalia kwenu, basi ifike pahala hata wanawake nao waanze kuangalia sifa kama mnazoziangalia kwao simple as that
Sasa kama mnapiga mademu wa kishua mbona kila siku mnashinda mnalalamika humu mitandaoni, kuwa wanawake wanajiuza mara sijui ni kausha damu, si muachane na hao wanaojiuza mkomae na hao wa kishua tu au vipi bwamdogowewe ndio haujamuelewa jamaa. Kamaanisha usidate na mwanamke masikini yaani hata asipokua tajiri angalao anao uwezo wa kujitosheleza kwa mahitaji yake. Kauli yake sio mahususi kwa wenye hela peke yao hata sisi wenye uwezo wa kawaida ni walengwa pia. Mademu wa kishua mbona tunapiga tangu olevel mkuu tena wanakuja wao wenyewe magetoni
Sasa mimi nimechagua kuongelea hilo kikubwa sijatoka nje ya mada, wengine waongelee hayo mengine uliyoyasema, wewe huna haki ya kunipangia kipi niandike na kipi nisiandike humu sawa kijanaNi kweli mkuu hii sera ya 50/50 inapiga kila upande kuna mambo ambayo wanawake ni ngumu kukubaliana nayo vile vile kuna ambayo wanaume ni ngumu kukubaliana nayo tukisema tuanze kuorodhesha moja moja hatutamaliza leo kwaiyo tulenge kwenye mada iliyopo mezani. Hoja ya rudeboy inahusu hela sio hayo masuala ya tabia, kuchepuka au kuwa sabmissive
Kuna kupotea njia mkuu unaweza kumsoma demu kivingine ukiingia unakuta yupo kivingine hata ivyo visa vinavyosimuliwa hapa sio vyote vimewakuta walengwa vingine ni masuala ambayo tunayaona mtaaniSasa kama mnapiga mademu wa kishua mbona kila siku mnashinda mnalalamika humu mitandaoni, kuwa wanawake wanajiuza mara sijui ni kausha damu, si muachane na hao wanaojiuza mkomae na hao wa kishua tu au vipi bwamdogo
Usipaniki kijana mada inahusu suala la hela kwaiyo kuwa specific kwenye suala la hela. Unataka mwanaume mwenye hela make sure na wewe unazo.Sasa mimi nimechagua kuongelea hilo kikubwa sijatoka nje ya mada, wengine waongelee hayo mengine uliyoyasema, wewe huna haki ya kunipangia kipi niandike na kipi nisiandike humu sawa kijana
Wanawake wa kishua wanajulikana bana usilete porojo zako hapa halafu bila shaka haujui maana ya mwanamke wa kishua, sasa hata kama hivyo visa mnavyoviona mitaani kwani hao wa huko mitaani ni maroboti si ni watu kama ninyi, hoja ni kuwa hayo mambo huwakuta wanaume wengi haijalishi ni wa mitaani au mitandaoniKuna kupotea njia mkuu unaweza kumsoma demu kivingine ukiingia unakuta yupo kivingine hata ivyo visa vinavyosimuliwa hapa sio vyote vimewakuta walengwa vingine ni masuala ambayo tunayaona mtaani
Kama huna hoja siyo lazima uniquote mzee baba nimeshakufafanulia jinsi comment yangu inavyohusiana na mada halafu wewe unanilazimisha niandike unachotaka wewe, sifa ambazo wanawake wanaangalia kwa wanaume ni kutokana na mgawanyo wa majukumu, kwahiyo mkitaka mambo yabadilike basi yabadilike kwa pande zote mbili yasibadilike upande mmoja tuUsipaniki kijana mada inahusu suala la hela kwaiyo kuwa specific kwenye suala la hela. Unataka mwanaume mwenye hela make sure na wewe unazo.
Hatari sii mchezo hawa wanawake wetu wa tzOmba omba wa tz ni first grade ,SI mke wa mtu ,mchumba etc wte omba omba
[emoji16][emoji16][emoji16]kweli kbsaUsipaniki kijana mada inahusu suala la hela kwaiyo kuwa specific kwenye suala la hela. Unataka mwanaume mwenye hela make sure na wewe unazo.
Naunga hoja .. Muhimu, hakuna kuoa asie na pesaPaul Okoye, maarufu kama Rudeboy kutoka kundi la muziki wa Afrobeats la PSquare amezua gumzo mitandaoni baada ya kuwashauri wanaume pia kukumbatia hulka ya kukataa mpenzi wa kike asiye na hela, kama wanavyofanya wanawake wengi.
Ifahamike kwamba idadi kubwa ya wanawake wakati wa kufanya chaguo la mwanamume wa kuingia katika uchumba naye, wengi huangalia kigezo cha ‘mwanamume mwenye hela’ na kama huna hela mtoto wa kiume unakataliwa papo hapo.
Sasa Rudeboy anahisi kwamba ni wakati wanaume pia waanze kufuata mkondo huo, akisema kuwa kama wanawake wanavyochagua mwanamume mwenye hela wakati wao hawana chochote cha kuchangia katika mapenzi, basi pia wanaume waanze kuchagua ‘mwanamke mwenye hela’ na kama hana akwende zake pia.
Msanii huyo kupitia instastory yake aliwauliza wanawake watajihisi vipi ikiwa wanaume pia wataanza kuchagua wanawake wenye hela, je wengi wao watapata wapenzi kweli ama wataishia pia kulia.
Rudeboy alisema kwamba wanaume wengi wanapitia aibu zilizokithiri mikononi mwa wanawake wanapopeleka ombi lao la kutaka mapenzi, wengi huishia kusimangwa na kutukanwa vibaya kisa hawana hela.
“Tafadhali wanaume wenzangu, acheni kuoa wanawake mafukara… kwenu nyinyi wanawake, hiyo inaeleweka aje? Mbona kila wakati mnawaaibisha wanaume kisa ufukara? Nafikiri ni wakati wanaume waanze kuchumbiana na wanawake wenye haiba zao kupitia hali zao za kifedha,” Rudeboy alisema.View attachment 2998906