Rudisha Heshima Sasa:zubedayo_mchuzi auction mart...........

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2011
Posts
4,873
Reaction score
1,221
.......

Kutana na wataalamu waliobobea katika kurudisha heshima za ndoa za watu na kuwakomesha wezi wa wake za watu kwa utaalamu wa hali ya juu.

.....Majukumu yake

1.Kukamata wagoni wote wa humu chit-chat

2.Kuuza mali za wataraka walizo chuma pamoja wakiwa kwenye ndoa zao.

3.Kuwakamata na kuwataifisha wake zao wale wote wenye madeni makubwa

4.KuTEGA na kuwanasa wale wote wanao tongoza wake za watu.

5.Kutaifisha pete zilizokopwa na kutolipiwa..

6.kuandaa mitego ya kuwakomesha nyumba ndogo na kubwa

7.
8.
9.
10.
.......................................N.K

kWA gharama nafuu kabisa....
 
hapo kwakweli mmewaweza!! Hivi Lady doctor kaolewa kweli ?
 
Last edited by a moderator:
Ha ha haaa Mamndenyi lazima nitajirike nimeachwa mara kibao. Nataka ya kuuza mali tunagawana nuru kwa nusa. Baba v najua anajua nilivyopigwj talaka za mfululizo. anza na mtalaka wangu wa mwishoni Mr Rocky uza fasta tena anza kuuza kitanda na godoro wakose pa kulala na mkewe.
 
Kweli, mie sina hayo matatizo.
Arabela hajambo?

Wewe unauliza maji jangwani!!!?

mzima bukher wa afya...........

Inamaana hukubali ulivyoachika! Nenda kwa Baba V basi!!?

Msarimie!
kila la kheri na biashara zako

Hiyo ni ngumu!

afu ujue wewe ni shemeji yangu naninakudai mahali ya dada yangu Arabela

Hapo umechemsha Mkuu! Dada keshamtema jamaa wewe bado unadai mahari!!!?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…