Rudisha Heshima Sasa:zubedayo_mchuzi auction mart...........

wewe unauliza maji jangwani!!!?

Inamaana hukubali ulivyoachika! Nenda kwa baba v basi!!?

Hiyo ni ngumu!

Hapo umechemsha mkuu! Dada keshamtema jamaa wewe bado unadai mahari!!!?

mbona unatoa mapovu sanaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Ha ha haaa Mamndenyi lazima nitajirike nimeachwa mara kibao. Nataka ya kuuza mali tunagawana nuru kwa nusa. Baba v najua anajua nilivyopigwj talaka za mfululizo. anza na mtalaka wangu wa mwishoni Mr Rocky uza fasta tena anza kuuza kitanda na godoro wakose pa kulala na mkewe.
UJE TUJAZE CPNTRACT nianze kazi ntauza mpaka ndala
 
Ha ha haaa Mamndenyi lazima nitajirike nimeachwa mara kibao. Nataka ya kuuza mali tunagawana nuru kwa nusa. Baba v najua anajua nilivyopigwj talaka za mfululizo. anza na mtalaka wangu wa mwishoni Mr Rocky uza fasta tena anza kuuza kitanda na godoro wakose pa kulala na mkewe.

Mamndenyi mbona nilivyokupa talaka nilikupa kitanda na godoro na vyombo vyote vya ndani sasa unadai nini sasa
Mimi na my wife wangu Dena Amsi tumeanza upya maisha aise na hatuna hata kitanda tunalala chini kwenye godoro
 
Last edited by a moderator:
Mamndenyi mbona nilivyokupa talaka nilikupa kitanda na godoro na vyombo vyote vya ndani sasa unadai nini sasa
Mimi na my wife wangu Dena Amsi tumeanza upya maisha aise na hatuna hata kitanda tunalala chini kwenye godoro
Rungu litakufikia popote ulipo hata uwe mfanyakazi wa boko haramu
 
Last edited by a moderator:
Vile ulivyonipa nilivitumbukiza kule mto makumira
najua hatukuandikiana hivyo ushahidi hakuna
nataka hilo hilo godoro mnalolalia.
Mamndenyi mbona nilivyokupa talaka nilikupa kitanda na godoro na vyombo vyote vya ndani sasa unadai nini sasa
Mimi na my wife wangu Dena Amsi tumeanza upya maisha aise na hatuna hata kitanda tunalala chini kwenye godoro
 
zubedayo_mchuzi acha zako hizo bana unataka nijivike bomu nije nikulipue nini aise
Dena Amsi wacha fujo hebu ongea neno roho yangu ipoe
Mamndenyi umesahau siku ile ulisaini makubaliano kuwa hutadai lolote tena baada ya mimi na wewe kuachana
 
Last edited by a moderator:
haaaaaaaa
aku
najua ulifoji sahihi yangu tu hapo
mimi aka hata mwanasheria wangu
anajua kuwa bado tunadaiana.

[B said:
Mamndenyi[/B] umesahau siku ile ulisaini makubaliano kuwa hutadai lolote tena baada ya mimi na wewe kuachana
 
Bishanga Jisalimishe mwenyewe. Lazma ukamatwe kwa kutongoza wake za wenyewe.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom