Rudisha Heshima Sasa:zubedayo_mchuzi auction mart...........

Rudisha Heshima Sasa:zubedayo_mchuzi auction mart...........

.......

Kutana na wataalamu waliobobea katika kurudisha heshima za ndoa za watu na kuwakomesha wezi wa wake za watu kwa utaalamu wa hali ya juu.

.....Majukumu yake

1.Kukamata wagoni wote wa humu chit-chat

2.Kuuza mali za wataraka walizo chuma pamoja wakiwa kwenye ndoa zao.

3.Kuwakamata na kuwataifisha wake zao wale wote wenye madeni makubwa

4.KuTEGA na kuwanasa wale wote wanao tongoza wake za watu.

5.Kutaifisha pete zilizokopwa na kutolipiwa..

6.kuandaa mitego ya kuwakomesha nyumba ndogo na kubwa

7.
8.
9.
10.
.......................................N.K

kWA gharama nafuu kabisa....

Mteja wa kwanza uwe wewe mwenyewe.. Juzi nimemuona Arabela yuko na chalii moja ya chuga....
 
Last edited by a moderator:
Ha ha haaa Mamndenyi lazima nitajirike nimeachwa mara kibao. Nataka ya kuuza mali tunagawana nuru kwa nusa. Baba v najua anajua nilivyopigwj talaka za mfululizo. anza na mtalaka wangu wa mwishoni Mr Rocky uza fasta tena anza kuuza kitanda na godoro wakose pa kulala na mkewe.

isije ikawa wewe ndio wakuja kufilisiwa na watalaka wako...
 
zubedayo_mchuzi acha zako hizo bana unataka nijivike bomu nije nikulipue nini aise
Dena Amsi wacha fujo hebu ongea neno roho yangu ipoe
Mamndenyi umesahau siku ile ulisaini makubaliano kuwa hutadai lolote tena baada ya mimi na wewe kuachana

nipo kikazi we njoo na bomu lako nitaligeuza kuwa heleni zako na utavaa mpka mwisho wa pumzi yako....nipo kwenye mazungumzo ya mwisho na mteja wangu....ili nianze kazi mapema
 
Last edited by a moderator:
Ah Baba V.. shhhh!! piga kimya bhana!

hajaachwa ila anadanganywa na vivulana vinavyoshusha suruali mi niko makini sana....we funga ndoa yako...nawe umzingue mke wako uone nitakavyo dili na wewe.....
 
Last edited by a moderator:
Mteja wa kwanza uwe wewe mwenyewe.. Juzi nimemuona Arabela yuko na chalii moja ya chuga....

Mama V,kanitumia msg anataka kujua gharama zetu zinakwendaje.....kaa mkao wa kula....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom