Kwani sheria inasemaje juu ya kosa hilo?Hizi rufaa nyingine ni kama za Yahaya Jameh, walishindwa nini kufunga magoli uwanjani?
Hivi wangelishinda hiyo rufaa ingekatwa!?
Acha uboya wewe unataka kusema huwezi kumtibu mgonjwa kwa sababu anaweza kufa ukawa umepoteza garama zako....?Hizi rufaa nyingine ni kama za Yahaya Jameh, walishindwa nini kufunga magoli uwanjani?
Hivi wangelishinda hiyo rufaa ingekatwa!?
Huwaga wanajitoaga Ufahamu sana hawa!Kwani sheria inasemaje juu ya kosa hilo?
Serengeti boys iliwahi kunysng'anywa nafasi kushiriki michuano ya kimataifa baada ya Nurdin bakari kukatiwa rufaa.
Simba pia waliwah pewa ushindi wa chee baada ya kumkatia rufaa mchezaji wa Tp mazembe!!!
Tuache mboyoyo , kama ni kweli basi tusubiri sheria iamue
Lipi hilo la Mkono Mkuu? [emoji23]Hiyo kamati isisahau na magoli ya mkono ya yanga dhidi ya timu zingine.
Mkichukua kihalali hakuna shida, ila kwa kutegemea mezani msahau. Vp bakuli lenu mnalopitisha mmefikia wap saiv[emoji12] [emoji12]Kila msimu ndio imekuwa kauli mbiu yenu.
'Msimu huu, Ubingwa wetu'
Alafu mwenye ubingwa anakuwa kuwa, mnabaki kuachama. [emoji23]
Vp mkuu mmefikia wapi na rufaa yenuLipi hilo la Mkono Mkuu? [emoji23]
Mimi nakumbuka lile alilofunga kwa 'Mguu'... mpira ukitokea Mkononi pale national stadium...
Nikumbushe hilo alilofunga kwa kutumia mkono ambapo mpira ukaingia moja kwa moja wavuni kutoka mkononi?
Tukumbushane tu!
Vp mkuu mmefikia wapi na rufaa yenu
Hakuna mbeleko mwaka huu, Mkodisho FC kama wana malalamiko basi ni faini tu.. hakuna point za cheeMpira uwanjani,mbona wanataka meza iwabebe ndio maana ,kimataifa wako hoi,hakuna mbeleko.
Ukijulishwa na Mimi naomba unijulishe.Ukijibiwa nijulishe. Nina kausingizi kidogo hapa
Mbona hamueleweki Mkuu!Mkichukua kihalali hakuna shida, ila kwa kutegemea mezani msahau. Vp bakuli lenu mnalopitisha mmefikia wap saiv[emoji12] [emoji12]
Nadhani TFF watakuwa hawako tayari kuwaachia yanga kombe liwe lao moja kwa moja msimu huu. Maana wataingia gharama ya kulitengeneza lingine, hivyo shilingi imegeukia upande wa pili. Msimu wa simba kudondokewa na mazari na yanga ni msimu wao wa kukomaa uwanjani hawatopata favour au mistakes yoyote ile kurahisisha matokeo ya ndani ya uwanja.Hakuna mbeleko mwaka huu, Mkodisho FC kama wana malalamiko basi ni faini tu.. hakuna point za chee
Ndo ivo kakaHapa sasa TFF ndio wanaonekana wamefanya haki.
Ila wangeamua kitenda haki, wangeonekana wanapendelea Yanga SC. [emoji23]