Rufaa dhidi ya African Lyon: Yanga kupewa alama zake 3 walizocheza dhidi ya African Lyon?

Rufaa dhidi ya African Lyon: Yanga kupewa alama zake 3 walizocheza dhidi ya African Lyon?

Hizi rufaa nyingine ni kama za Yahaya Jameh, walishindwa nini kufunga magoli uwanjani?
Hivi wangelishinda hiyo rufaa ingekatwa!?
Kwani sheria inasemaje juu ya kosa hilo?
Serengeti boys iliwahi kunysng'anywa nafasi kushiriki michuano ya kimataifa baada ya Nurdin bakari kukatiwa rufaa.
Simba pia waliwah pewa ushindi wa chee baada ya kumkatia rufaa mchezaji wa Tp mazembe!!!
Tuache mboyoyo , kama ni kweli basi tusubiri sheria iamue
 
Hizi rufaa nyingine ni kama za Yahaya Jameh, walishindwa nini kufunga magoli uwanjani?
Hivi wangelishinda hiyo rufaa ingekatwa!?
Acha uboya wewe unataka kusema huwezi kumtibu mgonjwa kwa sababu anaweza kufa ukawa umepoteza garama zako....?
 
Kwani sheria inasemaje juu ya kosa hilo?
Serengeti boys iliwahi kunysng'anywa nafasi kushiriki michuano ya kimataifa baada ya Nurdin bakari kukatiwa rufaa.
Simba pia waliwah pewa ushindi wa chee baada ya kumkatia rufaa mchezaji wa Tp mazembe!!!
Tuache mboyoyo , kama ni kweli basi tusubiri sheria iamue
Huwaga wanajitoaga Ufahamu sana hawa!

Hayo yote wameyasahau.

Ila Yanga SC ikikata rufaa katika Jambo lolote wao hawataki kabisa yaani. Kwao inaonekana rufaa ni kwa ajili ya vilabu vyote 15 kasoro Klabu ya Yanga SC ndio haitakiwa kabisa kutumia rufaa.

wanadikitisha sana.. [emoji23]
 
Vepeee kikao cha mezani cha point 3 ...nasikia majibu tayari...[emoji23][emoji23]
Tumekuwa Mabingwa kwa mara 26.

Hivyo kusema tunategemea 'rufaa' unajitekenya mwenyewe. [emoji23]
 
Hiyo kamati isisahau na magoli ya mkono ya yanga dhidi ya timu zingine.
Lipi hilo la Mkono Mkuu? [emoji23]

Mimi nakumbuka lile alilofunga kwa 'Mguu'... mpira ukitokea Mkononi pale national stadium...

Nikumbushe hilo alilofunga kwa kutumia mkono ambapo mpira ukaingia moja kwa moja wavuni kutoka mkononi?

Tukumbushane tu!
 
Kila msimu ndio imekuwa kauli mbiu yenu.

'Msimu huu, Ubingwa wetu'

Alafu mwenye ubingwa anakuwa kuwa, mnabaki kuachama. [emoji23]
Mkichukua kihalali hakuna shida, ila kwa kutegemea mezani msahau. Vp bakuli lenu mnalopitisha mmefikia wap saiv[emoji12] [emoji12]
 
Lipi hilo la Mkono Mkuu? [emoji23]

Mimi nakumbuka lile alilofunga kwa 'Mguu'... mpira ukitokea Mkononi pale national stadium...

Nikumbushe hilo alilofunga kwa kutumia mkono ambapo mpira ukaingia moja kwa moja wavuni kutoka mkononi?

Tukumbushane tu!
Vp mkuu mmefikia wapi na rufaa yenu
 
Mkichukua kihalali hakuna shida, ila kwa kutegemea mezani msahau. Vp bakuli lenu mnalopitisha mmefikia wap saiv[emoji12] [emoji12]
Mbona hamueleweki Mkuu!

Mara Yanga SC ikishinda inanunua mechi na Marefa.....

Mara Yanga SC haina pesa inatembeza bakuli..

Simameni kwenye moja tu! Msiwe kama Manyumbu.. [emoji23]
 
Hakuna mbeleko mwaka huu, Mkodisho FC kama wana malalamiko basi ni faini tu.. hakuna point za chee
Nadhani TFF watakuwa hawako tayari kuwaachia yanga kombe liwe lao moja kwa moja msimu huu. Maana wataingia gharama ya kulitengeneza lingine, hivyo shilingi imegeukia upande wa pili. Msimu wa simba kudondokewa na mazari na yanga ni msimu wao wa kukomaa uwanjani hawatopata favour au mistakes yoyote ile kurahisisha matokeo ya ndani ya uwanja.
 
Vp mkuu mmefikia wapi na rufaa yenu
Soma kama post 15 za nyuma. Kuna Jamaa ameleta mrejesho wa rufaa!

Usiogope sana mkuu! Bado tunawapumulia kwa nyuma. [emoji23]
 
Majibu ya rufaa tayari yanga kachemka tff ndo wameboronga kama kawaida yao
Hapa sasa TFF ndio wanaonekana wamefanya haki.

Ila wangeamua kitenda haki, wangeonekana wanapendelea Yanga SC. [emoji23]
 
Back
Top Bottom