Mau Mau
JF-Expert Member
- Dec 30, 2012
- 691
- 504
Kwani sheria inasemaje juu ya kosa hilo?Hizi rufaa nyingine ni kama za Yahaya Jameh, walishindwa nini kufunga magoli uwanjani?
Hivi wangelishinda hiyo rufaa ingekatwa!?
Serengeti boys iliwahi kunysng'anywa nafasi kushiriki michuano ya kimataifa baada ya Nurdin bakari kukatiwa rufaa.
Simba pia waliwah pewa ushindi wa chee baada ya kumkatia rufaa mchezaji wa Tp mazembe!!!
Tuache mboyoyo , kama ni kweli basi tusubiri sheria iamue