chukua milioni 50 toa elfu hamsiniIna tofauti gani na Mil 50/=
Yanga wazee wa ushindi wa wali maharagwe mezani
Kwani hamjadai bado?Mkipewa za Mchezaji wa Mbao na sisi tunadai za Kessy
Hata hoja imeletwa kishabiki sana.Hizi rufaa nyingine ni kama za Yahaya Jameh, walishindwa nini kufunga magoli uwanjani?
Hivi wangelishinda hiyo rufaa ingekatwa!?
Kwani hamjadai bado?
Nasikia Rage anataka kwenda FIFA akapeleke madai, vipi amekosa Ndege ya kusafiria nayo!
Au tatizo anaogoba bei ya nauli?
Maana zile Mil 50 zote hazitoshi kumpeleka Swiss na kurudi Bongo!..
[emoji23]
Ameanza kucheza mechi kipindi ambacho Mkataba umemalizika....Sasa kama suala la Kessy Yanga....amekutwa na hatia ya kumchezesha mchezaji ambaye si halali kwake na kuhukumiwa kumlipa Simba mil 50.....sasa zile mechi alizocheza Kessy....zina uhalali gani.....!!???
Kweli hii ligi inaendeshwa kimagumashi..........
Yaani mechi alizocheza ni halali lakini mchezaji mwenyewe sio halali........!!!
Only in Tanzania....
Huenda likamalizika katikati mwa msimu qa mwaka 2017/18 si mnawajua FIFA.
Kipindi hiko, tumeshatawazwa Mabingwa wapya. [emoji23]
Mkipewa za Mchezaji wa Mbao na sisi tunadai za Kessy
Ameanza kucheza mechi kipindi ambacho Mkataba umemalizika....
Ni tofauti kabisa na hili la Huyu wa African Lyon.
Tumia utimamu kutafakari masuala.
Kwanini Hamkuanza nyie kuona haya Yanga apunguzwe alama kwenye mechi alizochezeshwa Kessy ili upate ubingwa kirahisi zaidi....
Mkuu! wewe kuwa Yanga SC, NDANDA FC, Majimaji FC haziwezi kifanya sheria na Kanuni za kuongoza ligi yetu zipuuzwe.
Kwamba kila klabu ifanye inachotaka!!
Haya mambo madogo tusipo yashughulikia basi ndio mwanzo wa soka la Bongo kuendelea kupoteza uweledi wake.