Rufaa dhidi ya African Lyon: Yanga kupewa alama zake 3 walizocheza dhidi ya African Lyon?

Rufaa dhidi ya African Lyon: Yanga kupewa alama zake 3 walizocheza dhidi ya African Lyon?

Nyie oteni tu ndoto za mchana yeboyebo, hakuna ushindi wa mezani apa
 
Mkipewa za Mchezaji wa Mbao na sisi tunadai za Kessy
 
Mkipewa za Mchezaji wa Mbao na sisi tunadai za Kessy
 
Yanga wazee wa ushindi wa wali maharagwe mezani

Na wewe tafuta wa sakafuni.

Ila kabla hujaanza kuutafuta huo wa sakafuni hakikisha Yanga SC hashiriki hiyo Ligi, vinginevyo ataufuata huko huko sakafuni.

Ana njaa ya Mataji ambayo hajawahi kushiba.

Nyie oteni tu ndoto za mchana yeboyebo, hakuna ushindi wa mezani apa
Kila msimu ndio imekuwa kauli mbiu yenu.

'Msimu huu, Ubingwa wetu'

Alafu mwenye ubingwa anakuwa kuwa, mnabaki kuachama. [emoji23]
 
Sasa kama suala la Kessy Yanga....amekutwa na hatia ya kumchezesha mchezaji ambaye si halali kwake na kuhukumiwa kumlipa Simba mil 50.....sasa zile mechi alizocheza Kessy....zina uhalali gani.....!!???

Kweli hii ligi inaendeshwa kimagumashi..........

Yaani mechi alizocheza ni halali lakini mchezaji mwenyewe sio halali........!!!

Only in Tanzania....
 
Mkipewa za Mchezaji wa Mbao na sisi tunadai za Kessy
Kwani hamjadai bado?

Nasikia Rage anataka kwenda FIFA akapeleke madai, vipi amekosa Ndege ya kusafiria nayo!

Au tatizo anaogoba bei ya nauli?

Maana zile Mil 50 zote hazitoshi kumpeleka Swiss na kurudi Bongo!..
[emoji23]
 
Tutalianzisha suala LA kessy ili nanyi mkatwe point 9
Huenda likamalizika katikati mwa msimu qa mwaka 2017/18 si mnawajua FIFA.

Kipindi hiko, tumeshatawazwa Mabingwa wapya. [emoji23]
 
Swiss ndio wapi hapa duniani?Mnaongea na kubishana na ukuta.
 
Kwani hamjadai bado?

Nasikia Rage anataka kwenda FIFA akapeleke madai, vipi amekosa Ndege ya kusafiria nayo!

Au tatizo anaogoba bei ya nauli?

Maana zile Mil 50 zote hazitoshi kumpeleka Swiss na kurudi Bongo!..
[emoji23]

Hebu niambie wewe ndugu....

Ikiwa Kessy hakuwa halali kuichezea Yanga na kutozwa faini ya mil 50...zile mechi alizocheza kessy....zina uhalali gani.....!!??
 
Sasa kama suala la Kessy Yanga....amekutwa na hatia ya kumchezesha mchezaji ambaye si halali kwake na kuhukumiwa kumlipa Simba mil 50.....sasa zile mechi alizocheza Kessy....zina uhalali gani.....!!???

Kweli hii ligi inaendeshwa kimagumashi..........

Yaani mechi alizocheza ni halali lakini mchezaji mwenyewe sio halali........!!!

Only in Tanzania....
Ameanza kucheza mechi kipindi ambacho Mkataba umemalizika....

Ni tofauti kabisa na hili la Huyu wa African Lyon.

Tumia utimamu kutafakari masuala.
 
Mkipewa za Mchezaji wa Mbao na sisi tunadai za Kessy

Mkuu nina hakika hii rufaa ingekatwa na Afrikan Lyon dhidi ya Yangaa....hili suala lingezungushwa mpaka ligi ingekwisha bila ya kupata majibu......

Only in Tanzania.....bingwa anapangwa na chama cha soka.....
 
Ameanza kucheza mechi kipindi ambacho Mkataba umemalizika....

Ni tofauti kabisa na hili la Huyu wa African Lyon.

Tumia utimamu kutafakari masuala.

Ikiwa mkataba wake uliiisha....kosa la Yanga ni lipi hadi kutakiwa kuilipa Simba milioni hamsini.....!!??
 
Kwanini Hamkuanza nyie kuona haya Yanga apunguzwe alama kwenye mechi alizochezeshwa Kessy ili upate ubingwa kirahisi zaidi....

Kwa hiyo hukumu iliyotolewa na kamati ni batili....na kama ni ya haki....uhalali wa mechi alizocheza Yanga upi.....!!??
 
Mkuu! wewe kuwa Yanga SC, NDANDA FC, Majimaji FC haziwezi kifanya sheria na Kanuni za kuongoza ligi yetu zipuuzwe.

Kwamba kila klabu ifanye inachotaka!!

Haya mambo madogo tusipo yashughulikia basi ndio mwanzo wa soka la Bongo kuendelea kupoteza uweledi wake.

Wacha Unafiki Kujifanya Unalinda Kanuni Kumbe Unataka Vya Bure...

Mbona Siku ya Mechi Yenu Na Simba Lile Goli Lenu la Mkono Hamkuenda TFF kulikataa Wakati Kufungia Mkono Ni Kinyume Cha Sheria na Kanuni Za Soka???

Sasa Kanuni Gani Hizo Unazotaka Ziheshimiwe Wakati Munapozivunja Nyinyi Kwa Kucheza Mpira Wa Mikono Zinakuwa Ni Halali??

Na Je Tambwe Alipoushika Mpira Aliziheshimu Kanuni Kwa Kuuwacha Mpira na Kumuomba Refa Kuwa Amefanya Makosa?? Mbona Alifunga wakati ni Kinyume na Kanuni??

Acheni Unafiki Kujifanya Munalinda Sheria a Soka kumbe Lengo Lenu Munataka Vya Bure Vya Mezani.....
 
Back
Top Bottom