econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Huyu jamaa ama wamfunge au wamuachie tu maana tumechoka na hadithi zao
Hadithi wakati mtu anasota ndani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu jamaa ama wamfunge au wamuachie tu maana tumechoka na hadithi zao
Eeh Mwenye Enzi Mungu msaidie huyu Sabaya sasa uwi jamani[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
kama kweli unaakili timamu. tuajie hapa ushujaa wa sabaya ni upi hata afae kugombe uraisiSabaya ni shujaa ,hata wakimfunga miaka 30 atatoka akiwa na miaka 65 na kugombea urais huku waliomfunga watakuwa wameshakufa wote.
Muda ni mwl mzuri sana
Yaani mambo ya aibu kabisa.. Fikiria mtu mzima kiongozi ana jiita chawa wa mama... Aubuuuu!!!Yaani ukiwa mwizi ukawa kada wa ccm tayari wewe shujaa ukiua ukiwa ccm shujaa ukitesa watu nishujaa
endelea kupiga ramliSabaya ni shujaa ,hata wakimfunga miaka 30 atatoka akiwa na miaka 65 na kugombea urais huku waliomfunga watakuwa wameshakufa wote.
Muda ni mwl mzuri sana
[emoji23][emoji23][emoji23]Pathetic... Hii ndio think tank ya CCM
PEPO TOKAEeh Mwenye Enzi Mungu msaidie huyu Sabaya sasa uwi jamani[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Saazingine muwe mnasubiri uamuzi wa mahakama kabla ya kuleta ushabiki.Pathetic... Hii ndio think tank ya CCM
Mwenye akili timamu huwa anasubiri vyombo vya sheria vifanye kaziyake kabla ya kumuita mtu jambazi.Kamsaidie na wewe kukaa selo.
Shujaa wa ujambazi? Hebu kuweni na akili timamu.
Ndio,tuhuma zake zikidhibitishwa ni sawa kama aliuwa.Anyongwe hadi afe