Rufaa dhidi ya Sabaya kusikilizwa siku 5 mfululizo

Sabaya ni shujaa ,hata wakimfunga miaka 30 atatoka akiwa na miaka 65 na kugombea urais huku waliomfunga watakuwa wameshakufa wote.

Muda ni mwl mzuri sana
kama kweli unaakili timamu. tuajie hapa ushujaa wa sabaya ni upi hata afae kugombe uraisi
 
Yaani ukiwa mwizi ukawa kada wa ccm tayari wewe shujaa ukiua ukiwa ccm shujaa ukitesa watu nishujaa
Yaani mambo ya aibu kabisa.. Fikiria mtu mzima kiongozi ana jiita chawa wa mama... Aubuuuu!!!
 
Kamsaidie na wewe kukaa selo.
Shujaa wa ujambazi? Hebu kuweni na akili timamu.
Mwenye akili timamu huwa anasubiri vyombo vya sheria vifanye kaziyake kabla ya kumuita mtu jambazi.
 
Hao wawili ambao hawapo yaonesha washavuka boda zamani sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…