RUFAA OYEE: Hawatoki Bungeni hadi demokrasia ichukue mkondo

RUFAA OYEE: Hawatoki Bungeni hadi demokrasia ichukue mkondo

Sisi CHADEMA ndio tunaolikuza hili jambo la hawa covid-19, kwakuwa sasahivi tupo kwenye mazungumzo ya maelewano, basi swala la covid-19 liwe miongoni mwa ajenda.

Tufahamu kwamba serikali inawaitaji sana wabunge wa upinzani bungeni kwa sababu kuna kamati za kibunge zinaitaji kuongonzw na upinzani na kuna kamati za kibunge zinaitaji members wengi kutoka ktk kambi ya upinzani

Sasa kwa maana hiyo inakuwa ngumu sana kwa serikali kukubali kuwaachia hao wabunge. Hapa mimi nashauri chama changu cha CHADEMA kitengue kauli ya chama inayosema kuwa hatutapeleka wabunge bungeni kwa sababu ya uchafuzi uluotokea

Kwenye meza ya mazungumzo tuweke hoja ya kukubali kuteuwa na kupeleka wabunge bungeni lia hawa waliojipeleka wenyewe, waondolewe na chama kiteuwe wabunge wengine kwa kufuata sheria na katiba ya nchi
 
Hivi hawa wakiondolewa CDM wanapeleka wengine 19 au?
Wao si walisusia uchaguzi . Walishawatoa uanachama waache mengine yaendelee, la sivyo wanakubaliana na uchaguzi ule

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
CHADEMA wamekuwa very clear kwamba hawautambui uchaguzi wa 2020. Hawakupeleka majina ya viti maalum na hawatarajii kusikia kuna wabunge wanajitambulisha kwa jina la CHADEMA Bungeni. ILA wamemezea mbunge wa Nkasi (Aidan Kenan); kwa vile hakupindisha taratibu za chama kwenda huko.

Ajabu, serikali na CCM wameghushi taratibu kuwapeleka viti maalumu kwa jina la CHADEMA na wanalazimisha kihuni wawemo Bungeni kwa dhamana ya CHADEMA kinyume cha katiba, sheria, kanuni na taratibu zote!

Wengi hawakuamini CHADEMA walipoamua hata ruzuku hawachukui. Sasa wamekuja na conspiracy mpya kuwa CHADEMA wanavizia hizo nafasi wapeleke washikaji wao!

Acha nchi hii ya wajinga iendelee kuliwa na mafioso wa CCM. Siku watanzania watakapoamka it may be too late. Watu hawajiulizi tu baada ya kuizodoa CHADEMA miaka zaidi ya sita, CCM juzi wanakubali katiba mpya ni hitaji la watanzania?
 
Meza ya maliziano limalize hili tatizo. Tuwaondoe hao covid-19 na tuwapeleke wengine kwa mujibu wa katiba. Zaidi ya hapo kutakuwa na makelele na kupotezeana muda
 
Meza ya maliziano limalize hili tatizo. Tuwaondoe hao covid-19 na tuwapeleke wengine kwa mujibu wa katiba. Zaidi ya hapo kutakuwa na makelele na kupotezeana muda
Mpaka kwanza muafaka wa uchaguzi wa 2020 ufikiwe ndipo CHADEMA watakuwa na uhalali wa kupeleka wengine Bungeni hata kukubali kusamehe waliopo waendelee kuwakilisha!

Kwanza, Serikali ikubali 2020 makosa yalifanyika, pili, wapinzani walioko ndani (jela/mahabusu) kwa uonevu wote waachiwe, Tatu, waliodhuriwa/kuuawa waombwe radhi hata kufidiwa. Nne, CHADEMA wakubali "nia njema ya serikali/CCM" ndipo wateue rasmi wabunge wa viti maalum. Ikibidi, baadhi ya nafasi Rais za uteuzi wa wabunge wapewe wapinzani ambao umahiri na ushindani wao hauna mjadala.
 
CHADEMA ingeachana na hii issue tu kama msimamo bado ni kutoutambua uchaguzi wa 2020. It is evident uwepo wa 19 hawa Bungeni ni desire ya mihimili mingine

Walichofanya CHADEMA mpaka sasa kinatosha. Unless ofcourse aim yao ni kuwareplace hao 19 na wanawake wengine 19🙂
 
Mpaka kwanza muafaka wa uchaguzi wa 2020 ufikiwe ndipo CHADEMA watakuwa na uhalali wa kupeleka wengine Bungeni hata kukubali kusamehe waliopo waendelee kuwakilisha!

Kwanza, Serikali ikubali 2020 makosa yalifanyika, pili, wapinzani walioko ndani (jela/mahabusu) kwa uonevu wote waachiwe, Tatu, waliodhuriwa/kuuawa waombwe radhi hata kufidiwa. Nne, CHADEMA wakubali "nia njema ya serikali/CCM" ndipo wateue rasmi wabunge wa viti maalum. Ikibidi, baadhi ya nafasi Rais za uteuzi wa wabunge wapewe wapinzani ambao umahiri na ushindani wao hauna mjadala.
muhafaka gani wa uchaguzi wa 2020 unaotaka wewe ufikiwe? Kama umeshafika kwenye meza ya malidhiano basi kuna mambo unatakiwa kukubali kusamehe ili mambo mengine yaende

Kuhusu hao covid-19 kuwaacha waendelee hilo mimi binafsi sitariafiki kwasababj nhingi tu. Hao wanabidi waondoke na wateuliwe wengine kwa mjjibu wa katiba
 
unajua kuwa Akina Halima Mdee wanaondolewa Bungeni ili kuwapeleka kina Joyce Mukya?

usidhan wanatumia nguvu kuwatoa ili tu watoke

Bawacha wapya wanataka vile viti kwa nguvu kubwa sana
Sio kweli unadhani CHADEMA wangetaka kupeleka wabunge Mdee au Bulaya wangekosekana? Hiyo sio hoja, CHADEMA walikataa sababu walikataa matokeo. Yaani unadai umeibiwa kura kwenye majimbo zaidi ya 50 alafu uje usettle kwa viti maalum 20?? Yaani kutoka wabunge 70+ mpaka kukubali viti 20?? Si utakua ukichaa huo.
 
CDM KUACHA KUPELEKA WABUNGE WENGINE KAMA MBADALA MIFUMO HAIPO TAYARI KUWATOA
 
Ajira yenyewe ngumu jamani halafu mnataka hizi ajira 19 mzikatili kweli? hapo kuna watu kama 200 wanafaidika na uwepo wa covid 19

Nasema hivi ile ahadi ya ndugai ya kuwalinda hawa wanamapinduzi wapenda haki mashupavu 19 inatendewa haki sana na mwanamama hodari gwiji la sheria kabisa

Rufaa iendelee kazi iendeleee waliiindweee na ieleweke kuna mihimili iliyojichimbia chini zaidi ya mingine

View attachment 2269800
Haihitaji akili kubwa kujua kwamba wewe ni mpumbavu
 
Unayo habari kwamba wanakula TOZO unazokamuliwa? au wee ni sawa na mshumaa unatekea kwa mikodi ili wenzio waishi

Kwa hiyo mkiwapeleka mademu zenu baada ya akina halima Mdee kufukuzwa tutaacha kukatwa Tozo,Na hao mademu zetu si watakuwa nao wanakula Tozo hizi hiz?
 
Mwanaume mzima unamuonea wivu demu kisa pesa.

Chadema acheni ujinga huo.
Achaneni na wanawake hawa wale pesa zao..shida iko wapi mbona tunanyang'anyana keki jamani
Kuna mijitu ilisema hawa waliwekwa na JPM lkn sasa wanaona CCM bado inawakumbatia hawa. Mnachezeshwa ngoma ya kumchafua JPM ili kuwatoa kwenye reli, mpaka tunafika 2025 mtakuja kuachwa kwa spidi ya ajabu. CCM ni makini sana kwenye mikakati.

Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
 
Kwa juhudi walizoonyesha covi19 za kutaka uhalali wao juu ya chama chao na kurudi chamani, ningefurahi kama kamati kuu ya chadema wangewasamehe tu hakuna aliekua mkamilifu
Ile kamati kuu kukubaliana na maamuzi ya kikao cha chini bila kuwasikiliza inaitwa political miscalculation

Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
 
Mwanaume mzima unamuonea wivu demu kisa pesa.

Chadema acheni ujinga huo.
Achaneni na wanawake hawa wale pesa zao, shida iko wapi mbona tunanyang'anyana keki jamani
Ni mpuuzi tu anayetanguliza jinsia kwenye ukweli na uvunjifu wa wa sheria zilizopigwa. Je wewe ni mpuuzi??
 
Back
Top Bottom