Sisi CHADEMA ndio tunaolikuza hili jambo la hawa covid-19, kwakuwa sasahivi tupo kwenye mazungumzo ya maelewano, basi swala la covid-19 liwe miongoni mwa ajenda.
Tufahamu kwamba serikali inawaitaji sana wabunge wa upinzani bungeni kwa sababu kuna kamati za kibunge zinaitaji kuongonzw na upinzani na kuna kamati za kibunge zinaitaji members wengi kutoka ktk kambi ya upinzani
Sasa kwa maana hiyo inakuwa ngumu sana kwa serikali kukubali kuwaachia hao wabunge. Hapa mimi nashauri chama changu cha CHADEMA kitengue kauli ya chama inayosema kuwa hatutapeleka wabunge bungeni kwa sababu ya uchafuzi uluotokea
Kwenye meza ya mazungumzo tuweke hoja ya kukubali kuteuwa na kupeleka wabunge bungeni lia hawa waliojipeleka wenyewe, waondolewe na chama kiteuwe wabunge wengine kwa kufuata sheria na katiba ya nchi