Rufaa ya kina Mdee mbele ya Baraza Kuu dhidi ya Kamati Kuu CHADEMA: Kicheko kwa G19, Kilio kwa kina Mbowe

Siku hizi hatusahau thanks to technology but there is nothing that we can do but mdogo mdogo tutafika tu. Si unaona hadi Twitter magufuli kaipiga kufuli. Kwa sababu anaihofia mavitu yake.
Binadamu tumeumbwa kusahau. Mtakasirika ils with time mtasahau tu. Kama tulivyosahau sarakasi za Magu kwenye uchaguzi mkuu.
 
Sasa usiirushie tena office ya Mnyika lawama na kuwabeza Cdm. Kwa kuwa unajua engineer wa mchezo ni nani [emoji120][emoji102]
 
Msalimie NUSRAT HANJE,Ikiwezekana muulize ALITOKAJETOKAJE GEREZANI?
Nusrat Hanje alitoka Gerezani baada ya dawati la TISS lililoko pale Bungeni kupata taarifa za mchakato wa kuapishwa na kufanya coordination ya kuhakikisha kwamba mambo yanakwenda sawa. Ni kama hamjui nchi zinavyoendeshwa vile!
 

Na wewe unaamini hii Nchi ina usalama wa Taifa? Au usalama wa wahuni, majizi, mafisadi na wasiojulikana?
 
Aisee [emoji848]
 
Na wewe unaamini hii Nchi ina usalama wa Taifa? Au usalama wa wahuni, majizi, mafisadi na wasiojulikana?
Kazi ya secret service popote duniani ni SUPPORTING THE GOVERNMENT REGARDLESS OF OF WHETHER IT IS GOOD OR BAD. To that extent, tunayo secret service.
 
Nusrat Hanje alitoka Gerezani baada ya dawati la TISS lililoko pale Bungeni kupata taarifa za mchakato wa kuapishwa na kufanya coordination ya kuhakikisha kwamba mambo yanakwenda sawa. Ni kama hamjui nchi zinavyoendeshwa vile!
Shida iko hapa.....[emoji850]
 
CHADEMA ikae kimya tu kwa sasa isubiri hii miaka minne. Hawa ni wakaidi itengeneze tena akina mama wengine mashujaa watakaochukua nafaai zao 2024. Its time now to dump all that disobeys Party integrity.
Unaweza kutusaidia sisi ambao si wana sheria kujua katiba ya chadema inasemaje kuhusu ni muda gani baraza kuu la chama linatakiwa kuitishwa baada ya rufaa kupokelewa?
 
Shida iko hapa.....[emoji850]
Ni kama hawa watu hawana habari kwamba:
-- Kuna dawati la TISS Bungeni
-- Kuna dawati la TISS Gerezani
-- Kuna dawati la TISS NEC
-- Kuna dawati la TISS UDSM
-- Kuna dawati la TISS everywhere

Na kazi ya madawati haya ni kufanya kile ambacho nervous system inafanya katika mwili wa mtu.

Ni shida!
 
kwa nafasi ya Mdee kama mwenyekt BAWACHA kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA ni lazima awemo viti maalum...ikiwa hana jimbo.
 
Nope! Umeshawahi kusikia katika Nchi ambazo Rais analazimishwa kujiuzulu? Ni kwa sababu SS wamekosa imani na huyo dikteta hivyo wanamuona hafai kuendelea kuwepo madarakani kwa maslahi ya Nchi husika na Wananchi wake.
Kazi ya secret service popote duniani ni SUPPORTING THE GOVERNMENT REGARDLESS OF OF WHETHER IT IS GOOD OR BAD. To that extent, tunayo secret service.
 
But what they are doing it’s USELESS to the people of this beautiful country. Kwenda kujaza TISS na mautopolo yasiyokuwa na sifa wala elimu ya kuwepo ndani ya TISS bali tu ni kada wa maccm ni UPUMBAVU wa hali ya juu na ndiyo sababu taasisi hiyo sasa hivi inadharauliwa kuliko wakati wowote ule tangu tupate uhuru kama inavyodharauliwa Taasisi ya Urais.
 
Naona watu wa propaganda wanajaribu kuchuuza , na kupima upepo na nguvu ya chombo makini cha baraza kuu

Maamuzi ya balaza kuu.hayayumbishwi.na propaganda zozote ovu
 
Bila kusahau ni Ndugai ndiye alisema Halima Mdee asakwe aletwe bunheni na pingu kisha akafungiwa mwaka mzima kushiriki vikao vya bunge, je Ndugai leo amepata wapi wema na huruma kwa Halima Mdee?

Kwa hakika hizi ni condom tu baada ya matumizi yake zotakwenda zinapostahili.
 
Asante Mama Amon , nimeisoma hii mahali

is this real or fake?.
P
 
Nope! Umeshawahi kusikia katika Nchi ambazo Rais analazimishwa kujiuzulu? Ni kwa sababu SS wamekosa imani na huyo dikteta hivyo wanamuona hafai kuendelea kuwepo madarakani kwa maslahi ya Nchi husika na Wananchi wake.

That is a a pecial case when the president irremediably becomes a threat to national security. Two options are available then. Either Kennedy route or Kigogo2014 route. But these scenarios will depend on who is in the top team of the secret service. Generally possibilities are meagre.
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…