Rufaa ya kina Mdee mbele ya Baraza Kuu dhidi ya Kamati Kuu CHADEMA: Kicheko kwa G19, Kilio kwa kina Mbowe

Rufaa ya kina Mdee mbele ya Baraza Kuu dhidi ya Kamati Kuu CHADEMA: Kicheko kwa G19, Kilio kwa kina Mbowe

Hiyo movie mbona ishakwisha zamani wao watachangia tu 10 percent ya SACCOS then wataendelea na Ubunge wao kama kawaida maana Mbowe hana cha kuwafanya Spika kashaamua.
 
Yaani mpaka kesho sijaelewa mdee aliendaje kuapa bila kuongea na katibu mkuu hata kwenye simu kwamba wanaelekea kuapa?

Time pressure, telecom technical barriers, and the assumption that since the speaker has called it is all fine now. By the way, sio lazima afanye hivo.
 
Jieleze tu ila angalia hu-prove your chances za kusamehewa kwenye kesi yako

Shida mna kesi halafu mpo humu kutukana baraza lile lile mliloomba liwasamehe

Angalie sana

Endeleeni kuwatukana tu

Tusi umeliona wapi nawe?
Acha uzushi.
Hizi ni hoja tu.
 
Time pressure, telecom technical barriers, and the assumption that since the speaker has called it is all fine now. By the way, sio lazima afanye hivo.
Haahaa sio kawaida Mdee na Mnyika wasiwasiliane. Tatizo lilianzia hapo.
 
Kisha uamuzi unafanyika kwa kura ya siri
Sawa, lakini ni ngumu. Makosa ya kina Mdee yako wazi. Huwezi enda apa kuwa mbunge wa viti maalumu bila mamlaka za chama Chao kujua wangelikuwa waungwana pale Mnyika alivyowakana walipaswa kujiuzulu wote ule ubunge
 
Hayo majina ndiyo rasmi kwa mujibu wa Bawacha. Mdee ndo Mwenyekiti wa Bawacha na ndiye msemaji wa Bawacha. So, most probably, yes.
Kosa la Mdee ni kutoyapitisha majina kamati kuu ya Chama chao, ule ni uasi
 
Si kweli

Mnatukana baraza hilo hilo mnaloomba liwasamehe

Tumesoma makala nzima..humo mmetoa dharau na kejeli kwa utawala wa Chadema,sana!

Sasa,nyie endeleeni kufanya dharau zenu muone how strong Chadema can be!

Zamani tukiwa wadogo kuna wakati wavulana walikuwa wanapanga kupigana lakini wanawekeana masharti tupigane lakini hakuna kushikana korodani. Kuna ugomvi wa aina hiyo siku hizi? Hoja za kisheria ni ugomvi kama ugomvi mwingine.
 
Sawa, lakini ni ngumu.Makosa ya kina mdee yako wazi.Huwezi enda apa kuwa mbunge wa viti maalumu bila mamlaka za chama Chao kujua.wangelikuwa waungwana pale mnyika alivyowakana walipaswa kujiuzulu wote ule ubunge
Tatizo ni mahahara wa mbunge, take home ni Tsh million 11.
 
Back
Top Bottom