Rufaa ya kina Mdee mbele ya Baraza Kuu dhidi ya Kamati Kuu CHADEMA: Kicheko kwa G19, Kilio kwa kina Mbowe

Rufaa ya kina Mdee mbele ya Baraza Kuu dhidi ya Kamati Kuu CHADEMA: Kicheko kwa G19, Kilio kwa kina Mbowe

Kosa la Mdee ni kutoyapitisha majina kamati kuu ya chama Chao, ule ni uasi
Tatizo kubwa CHADEMA nimegundua walikuwa wanakulana wenyewe kwa wenyewe, kiongozi huyu anambinuwa huyu mara unaambiwa Ally Bananga naye anambinuwa huyu.

Kwenye taasisi nyeti Duniani mahusiano ya kimapenzi hayaruhusiwi kabisa na ukijurikana unaweza kupoteza kazi.

Hawa watu kwa sababu wamezoea kubinuana ndio maana wana kiburi hiki wanaamini kila mtu ni mpumbavu mwenzao.
 
CCM hamna uwezo wa kulihonga Balaza Kuu la CDM, nyie mnachoweza ni kununua Madiwani, Wabunge na viongozi wachache wenye njaa.

Bila kuachia huo Ubunge waliopewa na CCM hao kina dada wanakwenda kuaibika zaidi mbele ya Balaza Kuu.

Note down my words!!
 
Tatizo kubwa Chadema nimekunduwa walikuwa wanakulana wenyewe kwa wenyewe, kiongozi huyu anambinuwa huyu mara unaambiwa Ally Bananga naye anambinuwa huyu.

Kwenye taasisi nyeti duniani mahusiano ya kimapenzi hayaruhusiwi kabisa na ukijurikana unaweza kupoteza kazi.

Hawa watu kwa sababu wamezoea kubinuana ndio maana wana kiburi hiki wanaamini kila mtu ni mpumbavu mwenzao.
Haahaa huenda uko sahihi, japo taasisi zote wanabinuana.
 
Binafsi mtazamo wangu ni kuwa kimkakati, kimantiki na historia yao CDM walipaswa kupeleka V/Maalum, lakini kwa kuwa tayari Vikao rasmi vya chama viliamua hakuna kwenda, basi uamuzi kinyume na hapo ni Usaliti sawa na Uhaini.

Anachotetea huyu dada hata hakieleweki.
Sana, Mdeee na wenzake kama walitamani viti maalumu walipaswa kuendelea kushawishi Chama chao kupitia vikao halali, pia pale waliposikia mamlaka ya Chama chao yaani katibu mkuu akishangaa kuapishwa kwao walipaswa kujiuzulu ubunge mara moja.
 
Tatizo kubwa Chadema nimekunduwa walikuwa wanakulana wenyewe kwa wenyewe, kiongozi huyu anambinuwa huyu mara unaambiwa Ally Bananga naye anambinuwa huyu.

Kwenye taasisi nyeti duniani mahusiano ya kimapenzi hayaruhusiwi kabisa na ukijurikana unaweza kupoteza kazi.

Hawa watu kwa sababu wamezoea kubinuana ndio maana wana kiburi hiki wanaamini kila mtu ni mpumbavu mwenzao.
Kwani huko CCM hambinuani, tena huko ukigusa usingizi wa mtu unatimuliwa kazi kama mbwa koko.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Sana, mdeee na wenzake Kama walitamani viti maalumu walipaswa kuendelea kushawishi chama Chao kupitia vikao halali, pia pale waliposikia mamlaka ya chama Chao yaani katibu mkuu akishangaa kuapishwa kwao walipaswa kujiuzulu ubunge Mara moja
Exactly. Na kibaya ukiutazama mchakato wenye kuna kila dalili ya dola kuwa nyuma yake.
 
Haahaa Baraza kuu kuwaunga mkono wale wabunge wa viti maalumu yatakuwa maajabu.yaani katibu mkuu anashangaa kuapishwa wabunge huku wanaendelea na ubunge tu

Kuna madume wengi wanazaa mtoto na kuruka meta mia.

Mshangao wa Mnyika unaweza kuwekwa ktk kundi hili pia.
 
Back
Top Bottom