Rufaa ya kina Mdee mbele ya Baraza Kuu dhidi ya Kamati Kuu CHADEMA: Kicheko kwa G19, Kilio kwa kina Mbowe


Hakuna barua feki.
Hujajua ukweli wote
 
Time pressure, telecom technical barriers, and the assumption that since the speaker has called it is all fine now. By the way, sio lazima afanye hivo.
Sio lazima afanye hivyo? Wataka kusema shughuli yoyote inayohusisha Chama katibu hapaswi kujulishwa na mwanachama wake?
Naona unajaribu kuhalalisha jambo ambalo haliko sawa kwa assumptions zako hizo.
 
Ndugu usiumize kichwa kujua nani kaandika.

Hii akaunti inatumiwa na timu kubwa.
Oh hapo sawa so nina Imani mmoja au zaidi niwa ( m )tumiaji wa hii account.
Asante kwa kuondoa dukuduku langu Mama Amon.
 
Nakubaliana nawe 100%.CHADEMA isingefika hata April,wangelegea na wangeshirikiana na NEC katika kuwasilisha majina ya viti maalum.
 
Sio lazima afanye hivyo? Wataka kusema shuguri yoyote inayohusisha chama katibu hapaswi kujulishwa na mwanachama wake?
Naona unajaribu kuhalalisha jambo ambalo haliko sawa kwa assumptions zako hizo.

Kiutaratibu anayemfahamisha mwanamke kuwa kateuliwa ni Tume au Bunge, sio katibu wa chama.

Tume inatoa taarifa kwa Umma na kupeleka nakala Bungeni.

Bunge linaita wateule kuapa au kwa public notice au vinginevyo.

Kwa hiyo, suala la kumuaga katibu au kuomba Ruhusa kwa Katibu sio hoja kabisa.
 
for the purpose of widening up the evidence of being formally nominated for a certain position. Ona sasa hivi hawa covid-19 wanaweza kushinda kwa kusema kuwa wao waliteuliwa na mamlaka husika na mamlaka husika nayo inakataa. Sasa kwa sababu hufanyika kimya kimya ni vema iwe wazi. anayeteuliwa au kuchaguliwa ajulikane na umma na siyo Chama peke yake ili kuepuka huku kugeukana na kubambikiana kesi. hao covid-19 wanaweza kumbambikia kesi mtu kwamba ndiye aliyewateua au mtu mwingine akawageuka hao covid-19 kuwa hakuwateua kumbe aliwateua. Sasa ni vema mambo yote yawe hadharani kwa umma.

Halafu Mbona Rais akiteuliwa anapewa cheti cha uteuzi na hata mbunge anapewa cheti cha uteuzi tena wote hupewa hadharani. Mbona hujawahi kuuliza "Why"?
 

Nimepata pointi yako. Support
 
Wewe mama Amoni, kwa nini msiende tu CCM mbona vyeo vipo vinawasubiri? Kwa nini mnawasumbua wanachama na viongozi wa Chadema kwa kitu ambacho ni rahisi tu kupata hata urais jamaa anaweza kuwaaachia kwa jinsi anavyowapenda. Hamuwaoni wenzenu akina Silinde, Katambi, Gekul, Mollel, Waitara wanavyokula nchi kwa mrija bila jasho? Nyie vipi?
 

Unaonyeshwa mwezi kwa kutumi kidole lakini wewe unabaki kukodolea kidole. Jielekeze ktk hoja
 
Naunga mkono hoja.

Hii tabia ya kipuuzi ndio inaleta mazoea kwenye kazi, wanafanya mambo ya kiofisi kama watoto wa secondary school, hili lililotokea liwe fundisho kwao.
 
Hahahaha.Wajinga ndo waliwao. Nani asietaka Ruzuukuuu?Hiyo ya kuwasimamisha ilikuwa danganya toto. Ohoooooo. Magufuli oyeeeeee.
 
Halima Halima Halima kweli miaka yote zaidi ya kumi na tano hukujifunza integrity???????

Huwezi kusema kuwa hukuhusika kwenye kosa kwa kuwa anayekuchagua ni either or....,,Abd that you believe one or the other ir both did select you????? That is such a lie!!!
Utasemaje either or wakati unajua fika kuwa bila sahihi ya KM wa chama chako huwezi kuwa mbunge wa JMT kufuatana na katiba ya nchi??????? Please get your team out of there! Unaaibisha young women of Tanzania!

Those who consudeted you role models are now grossly disapointef!!!

Hakuna mbadala ya katiba ya nchi!!!! Usidanganye wananchi waliokupa heshima miaka yote!!!

Wote waliohusika wanaljua hilo! Kama wamechagua kupinga maamuzi ya kamati Kuu wanajiletea aibu tu hapo! Wamgekiri tu wamekosea na kuomba msamaha! Na kuomba warudi chamani so that they at least remain with some semblance of respect! La sivyo dada zangu this will be your premature end of politics as well as respect!!

It is painful though, because you were elected MPs! But someone deprived you all of your rights!!!! VThat someone is none other than the party that you want to give ligitimacy to despite all they did to you!! Despite evidence of vilations Halima herself observed!!!! Yes, Chadema deserves those seats and many more but not that way!!!!

It us true toi that the big number of mps from chama kubwa that are now holding those seats did not earn them!!! That is very painful!!! You may threfore, argue that they are also viti maalumu obtained illegally so why shoukd you not do the same??? The earnings from the position of mheshimiwa MP are also so attractive that the $$$ zeros may be blinding your judgement!!!

But have you considered other alternatuves in your lives apart from MPs earnings???????Please do so!!! Many of you couldbe absorbed in big institutions! You are all brilliant people!!
Why would you want to disgrace yourselves because of money???? When you may do even better elsewhere???

I urge you to sit down and think long and hard!!!!!
Do not give legitimacy to the fallen giant!!!!
Millions still love Chadema despite the unjust blow dealt them by the powers known!!!
Chadema remains the only legitimate political party in Tz!!
Dont let it down by becoming the speaker’s MP!!!!!!!!!
Thank you!!!
 
Nimeona kero kusoma kuhusu traitors japo mimi siikubali chandema chambowe chamtei
 

Kuna tofauti kati ya tetesi na verified data.

Redio mbao zinasema mengi.

Mara Mbowe anamgonga Mdee,

Mara Mrema anamdunga Ana,

Mara safari anamla Upendo,

Mara Mwalimu anampumulia Matiko

Mara Mnyika anambinua Asha,

Mara Mbowe anamsugua Joyce.

Etc etc

Bottom line:

Nani amewahi kushuhudia dhakari ya mwanamume yeyote kati ya hao ikizamishwa kwenye papuchi ya mwanamke yeyote hapo juu?

Acheni kupayuka.

Mkibanwa mthibitishe mtaumbuka!

Facts yes. Speculations no.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…