Rufaa ya kina Mdee mbele ya Baraza Kuu dhidi ya Kamati Kuu CHADEMA: Kicheko kwa G19, Kilio kwa kina Mbowe

Historically,no ever competent member who won the legal battle against CHADEMA.Unasema wanashinda asubuhi,mimi nasema wameshashindwa kabla ya asubuhi.
 
Mmhh....kwa kulazimisha kuendelea kuwa wabunge kina halima watapotea Mazima kisiasa...haiwezekani halima akaape kuwa mbunge wa viti maalumu hata katibu mkuu hajui.huu ni uhaini...viti maalumu vinaanzia kwenye chama
 
Reactions: BAK
Ila mama Amon ni kichwa. Nafikiria kupanga utaratibu wa kukuona [emoji41]
 
Unashindwa kukumbuka kabisa kama upo hapo ulipo chini ya mwamvuli wa chama chako pendwa ambacho ni taasisi kamili inayoendeshwa na vikao halali vya kimkakati juu ya LIPI NI AGIZO LA CHAMA. totally disobey on party belief and intergrity
 
Napendekeza kwenye katiba hasa za vyama vya upinzani kuwe na kipengele kinachosema mteule wa nafasi yoyote kwa ngazi yoyote ile ya uongozi au uteuzi atapewa cheti cha uteuzi na kiongozi au viongozi husika mbele ya waandishi wa habari.
Wabunge wa majimbo wanaposhinda uchaguzi ukabidhiwa certificate ya ushindi na Nec, na hiyo ndio inakuwa utambulisho wao bungeni kwenye kujisajiri.
 
Bulaya haelewi Mkuu anajifanya kichwa ngumu but time will show her the reality. Usaliti haulipi popote pale.
Mmhh....kwa kulazimisha kuendelea kuwa wabunge kina halima watapotea Mazima kisiasa...haiwezekani halima akaape kuwa mbunge wa viti maalumu hata katibu mkuu hajui.huu ni uhaini...viti maalumu vinaanzia kwenye chama
 
Na wewe unaamini hamjafanya kosa ila Kamati Kuu ya Chadema ilikurupuka na kuwaonea wivu kwa rushwa mliyoipata kutoka kwa JIWE na ndugai? 😳
Kwenye rufaa yao wanasema hawajafanya kosa. Kwa nini wajiuzulu?
 
Wenye akili wanasubiri kikao kikae maamuzi ya rufaa yatolewe.mengine yote ni umbea na ujinga. Kupoteza muda.

Sijui kwanini unahangaika hivi.
Wanaanza kujihami mapema wakati hata hoja za msingi hakuna, huyo mama angekaa kimya kusubiri maamuzi ya Baraza.Majibu sahihi ingekua kwamba warufani wanao uthibitisho kwamba Mnyika alisaini fomu zao,na Mbowe anajua,lkn Mnyika tayari amewakana kwamba fomu alizopewa na tume ya uchaguzi, bado anazo ofisini, mnajinasuaje kwenye hoja hizo mbili?
 
Hahahaha.Wajinga ndo waliwao. Nani asietaka Ruzuukuuu?Hiyo ya kuwasimamisha ilikuwa danganya toto. Ohoooooo. Magufuli oyeeeeee.
Wakiitwa watu wenye akili na wewe utajitokeza?

Kura alizopewa Lisu ndio zimezaa hao Covid 19 na ndizo zinahalalisha Chadema kupewa ruzuku.

Usitumie kichwa kufugia nywele.
 
Mama Amon. Tuseme tu ukweli. Hawa wabunge (Covid 19) . Je ingelikuwa ni Ccm wangekata hata hiyo rufaa huko Baraza kuu ?!. Tunakosa nidhamu kwenye vyama hivi visivyo na madaraka . Walichokifanya kina Mdee ukiondoa Nusrat Hanje ni utovu wa nidhamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…