ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #101
Moja ya sababu za kujengwa Kwa bwawa ni kudhibiti Mafuriko downstream lakini Sasa bwawa limeongeza Mafuriko.Ni kweli kabisa. Labda walipumzika wakati bwawa linajazwa maji. Lakini hilo bonde lina historia ya kupatwa na mafuriko hasa kipindi cha masika....
Ambia hizi maiti humu.iiNi kweli kabisa. Labda walipumzika wakati bwawa linajazwa maji. Lakini hilo bonde lina historia ya kupatwa na mafuriko hasa kipindi cha masika....
Hii hoja imekaa kiupinzani na si kwa maslahi ya hivyo vijiji 23Vijiji 23 si kidogo , hili ni janga kubwa mno ! Wazungu waliona haya mapema tukawapuuza na kuwaita mabeberu
Hizi ndio akili za kifala zile za Jiwe na wafuasi wake.Serikali ina mamlaka kwa kijiji au eneo lolote kama ina matumizi yenye tija kwa taifa ama eneo husika zaidi ya yaliyopo.
Huu ufala wa kichawa mnaoufanya hauna tija kwa vizazi vyenu zaidi ya kunenepesha minyoo hizo na kisha kufa tu
Umeme mnaohujumu ili mfanye ujinga wenu hautawafikisha popote.
Kwa hiyo Wapinzani ndio wanaogelea kwenye Mafuriko saizi? Acheni ujinga basi.Hii hoja imekaa kiupinzani na si kwa maslahi ya hivyo vijiji 23
Haki za binaadam na mattacke yako??haki ya nani imeporwa hapo??Hizi ndio akili za kifala zile za Jiwe na wafuasi wake.
Je hayo mamlaka ya Serikali yanatakiwa kukiuka haki za binadamu? Kama yanakiuka kinakuwa na haja gani ya kuwa na mradi wa hivyo?
Punguani baba yako,ambaye kashindwa kukufundisha namna ya kuzingatia mambo yenye tija kwa taifa zaidi ya uchawa.Ndio maana tunawaambia nyie punguani Kwa nini hamkufanya EIA kabla ya ujenzi?
Cha ajabu bibi yako kaengeza ndege juzi sijui una taarifa??Mwisho very unfortunately hakuna mradi wa Jiwe hata mmja unaoleta faidia ni hasara tupu kuanzia mkulazi ,sijui.kiwanda Cha ngozi na Sasa bwawa.
Hapo sasa tuliza speaker hiyo nyuma utafakarikuna nini kinaendelea nyuma ya uzimaji wa mitambo???Hilo bwawa wamezima mtambo na kuwasha kidatu kisa eti maji yamezidi Kwa sababu hakuna mechanism ya control ya maji mengi,mbona huko kidatu nk Huwa maji yakizidi yanafungukiwa na mitambo haizimi?
Na ataendelea kuwafilimba hata akiwa marehemu,sababu mnapenda sana upuuzi kuliko kazi.Jiwe mkurupukaji alikuwa mtu wa hovyo sana.
Mwendelezo wa utaahira na upumbavu 🚮🚮Haki za binaadam na mattacke yako??haki ya nani imeporwa hapo??
Punguani baba yako,ambaye kashindwa kukufundisha namna ya kuzingatia mambo yenye tija kwa taifa zaidi ya uchawa.
Cha ajabu bibi yako kaengeza ndege juzi sijui una taarifa??
Hapo sasa tuliza speaker hiyo nyuma utafakarikuna nini kinaendelea nyuma ya uzimaji wa mitambo???
Na ataendelea kuwafilimba hata akiwa marehemu,sababu mnapenda sana upuuzi kuliko kazi.
Tumia akili sio tumbo na kalio.Mwendelezo wa utaahira na upumbavu 🚮🚮
Tangu lini Jiwe na wafuasi wake wakawa na akili? 😆😆😆😆Tumia akili sio tumbo na kalio.
Sisi wananchi tumekaa tuone la faida hata moja mtakaloanzisha,mwaka wa 3 huu,ni kuzurula tu.Tangu lini Jiwe na wafuasi wake wakawa na akili? 😆😆😆😆
Kila alipogusa ni hasara tupu 🚮🚮
Hamia kwaoWazungu walipokataa huu mradi waliyajua yote haya.
Mungu wabariki Wazungu
Lakini faida ya mradi ni kubwa kuliko changamoto mnayo iona.... Kuhamisha watu 1000 huwezi linganisha na faida ya mradi. Kwasasa maendeleo ya nchi yanategemea sana uwepo wa nishati ya uhakika. Tupunguze malalamiko bali tuwe sehemu ya kutafuta suluhu ya changamoto....Moja ya sababu za kujengwa Kwa bwawa ni kudhibiti Mafuriko downstream lakini Sasa bwawa limeongeza Mafuriko.
Hii ni matokeo ya kupuuza EIA,Sasa hivi watalazimika kuhamishia watu na maeneo ambayo yangefaa kwa.kilimo.kufa Kwa sababu bwawa limegeuka acceleror na sio controller
Watu wajinga sana mafuriko hata Ulaya na Marekani yapo kwa hiyo Bwawa la Nyerere kujaa maji na kuathiri baadhi ya vijiji haiwezi kuwa hoja yenye mashiko!Januari jr naona unakuja kwa style nyingine ya kujikosha!! Huku songwe hakuna Bwawa la Nyerere lakini vijiji vimezingirwa na maji.
Au kwa sababu huku Songwe tunakula Kitimoto?
Kwani ni mara ya kwanza vijiji hivyo kukumbwa na mafuriko? Wenyewe wamasema walidhani ujenzi wa Bwawa ungekuwa suluhu ya matatizo ya mafuriko yanayowakumba mara kwa mara so kwa kauli hiyo ni wazi kuwa si mara ya kwanza na hivyo tusihusishe janga hilo na Bwawa la Nyerere. Naona vita dhidi ya hilo Bwawa bado inaendelea!Inasikitisha sana kusoma kwamba Zaidi ya Vijijini 23 Wilayani Rufiji vilivyopo kwenye blonde la mto Rufiji Vimekumbwa na Mafuriko Makubwa ya maji kutoka bwawa la umeme la Nyerere.
Vijiji hivyo viko kwenye kata 12 Zenye kaya zaidi ya 1,000 ambapo makazi,mashamba,mazao na Mali nyingine vimegaribiwa vibaya na Mafuriko hayo.
Ikumbukwe njia ya mwongo Huwa ni fupi.Wakati wa Ujenzi wa bwawa hili tuliambiwa pamoja na mambo mengine eti ujenzi wake utadhibi Mafuriko ya mara Kwa mara huko lower Rufiji basin lakini imekuwa kinyume chake kwani Mafuriko ndio yameongezeka na Haki kuwa mbaya zaidi maana maji yanakuja Kwa Wingi na Kasi kubwa.
Ni vyema ikaeleweka kwamba kabla ya kufanya mradi wowote ni vyema athari Kwa mazingira ikafanyika ila Kwa bwawa hili inaelekea jambo hili lilipuuzwa.
Ikumbukwe kwamba miradi yeyote iwe ya kiuchumi au kijamii Huwa inalenga kuleta ustawi Kwa jamii husika ila ikiwa kinyume chake haifai au njia mbadala lazima zitafutwe.
View attachment 2953636
View attachment 2953637
View attachment 2953638
---========
MCHENGERWA ATOA MIL.40/- KUSAIDIA WANANCHI WA RUFIJI WALIOKUMBWA NA MAFURIKO
Na Projestus Binamungu
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Rufiji mkoani Pwani Mhe. Mohamed Mchengerwa, ametoa Sh.milioni 40 kwa ajili ya kusaidia ununuzi wa mbegu kwa zaidi ya wakazi 1,000 wa maeneo mbalimbali ya wilaya ya Rufiji ambao mali, mashamba na makazi yao yameathiriwa na mafuriko ya maji, yaliyofunguliwa kutoka bwawa la uzalishaji umeme la Mwalimu Nyerere.
Akizungumza na wakazi hao mara baada ya kufanya ziara ya kukagua athari ya mafuriko hayo katika maeneo mbalimbali ya wilaya hiyo, Waziri Mchengerwa amesema analazimika kutoa kiasi hicho cha pesa ili kuwatia moyo wakazi hao kurejea shambani kulima upya baada ya mazao yao kusombwa na mafuriko hayo.
“Hili ni janga letu sote mimi na nyinyi, tuliamini kwamba ujenzi wa JNHPP utakuwa mkombozi wa mafuriko ambayo yamekuwa yanatukumba mara kwa mara lakini kwa bahati mbaya bado imejitokeza, tuendelee kuwa na Imani kwamba mradi ukikamilika uwenda changamoto hii ikawa imetatuliwa” alisema Waziri Mchengerwa.
View attachment 2953643
Aliongeza kuwa “ Ninafahamu fika namna wakazi wa Rufiji mlivyokuwa mmelima kwelikweli mwaka huu, ninaomba turejee shambani tulime tena vilevile kwa kiwango kikubwa, mimi ninamkabidhi Mkuu wa wilaya shilingi milioni 40 kwa kuanzia kwa ajili ya kusaidia ununuzi wa mbegu ili turejee shambani tupande tena tusije kufa kwa njaa.”
Alikadhalika Waziri Mchengerwa ametoa wito kwa taasisi na mashirika ya misaada ya kibinadamu Pamoja na wasamalia wema kuguswa na hali ya Warufiji kwa kuwashika mkono kwa namna moja au nyingine katika kipindi hiki ambacho serikali ya wilaya inaendelea na ufuatiliaji na tathimini ya athari za mafuriko hayo kwa ujumla.
“Ukweli niseme kiasi hiki cha milioni 40 nilikuwa nimekidunduliza kutoka kwenye mshahara wangu kwa ajili ya kuhakikisha tunakuwa na futari ya Pamoja katika kipindi hiki cha mwezi mtukufu wa Ramadhan kama tunavyofanya kila mwaka, lakini kwa hali hii ya mafuriko niseme tu kwamba futari si kitu nalazimika kutoa kiasi hiki kwa ajili ya ununuzi wa mbegu na nitaenda kuwaomba marafiki zangu wanichangie angalau tufikishe milioni …..
My Take
Kwa hili la Rufiji, Serikali ihamishe Wananchi na iwalipe fidia kama inavyofanya Ngorongo Kwa Masai Kwa sababu maslahi na Haki zao zilikiukwa Kwa kutofanya EIA kama sheria za Nchi na Kimataifa zinavyotaka.
Tunapenda Umeme ila sio Kwa utaratibu huu.
View: https://www.instagram.com/p/C5S-mCZiN5p/?igsh=aWpqb2Vkbzl3cmFn
We ni wa kupuuzwa, chuki uliyonayo ni kubwa mno mpaka inakutoa akili. Kwani ndo mara ya kwanza vijiji hivyo kukumbwa na mafuriko? Faida ya Bwawa huwezi kulinganisha na hasara itokanayo na mafuriko hayo hata robo. Chuki hupunguza uwezo wa kufikiri.Na hii ndiyo imesababisha mtambo kuzimwa. Ccm huwa wanakurupuka sana.
Jiwe alikuwa hasmbiliki mshenzi yule. Yako wapi sasa? Legacy ziiiiii!!
Pamoja na umeme kwani bwawa lililenga nini Kingine tofauti na kudhibiti Mafuriko?Kwani ni mara ya kwanza vijiji hivyo kukumbwa na mafuriko? Wenyewe wamasema walidhani ujenzi wa Bwawa ungekuwa suluhu ya matatizo ya mafuriko yanayowakumba mara kwa mara so kwa kauli hiyo ni wazi kuwa si mara ya kwanza na hivyo tusihusishe janga hilo na Bwawa la Nyerere. Naona vita dhidi ya hilo Bwawa bado inaendelea!