Ruge atimiza miaka 49, happy birthday Mdau

Pole sana.mimba ilikuwa ya nani jamani?
 
Miaka minne hurudi hata kumkaza mkeo unategemea nini?.we ulikua mwaminifu hio mika yote?.
 
Miaka minne hurudi hata kumkaza mkeo unategemea nini?.we ulikua mwaminifu hio mika yote?.
Nilitoka kwa tahadhari kwa maana ya kupunguza tamaa za mwili
lkn sikumpa mtu mimba kiasi cha kumdhalilisha mke wangu.
 
Unawachekiiiiii halafu unasema tu hiiiiii!.[emoji124][emoji124]
 
Huyu jamaa ana heshima kubwa katika muziki wa hapa tz,lakin historia inaonyesha ni MTU wa visasi hasa msanii anapokataa kukubaliana na matakwa yake linapokuja suala LA maslahi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…