Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Kwanini hujaoa?Tukitumia the law of large numbers nina forty flani hivi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini hujaoa?Tukitumia the law of large numbers nina forty flani hivi.
Kama huna la kusema ni ukae kimya!mbona umepunguza miaka kile ni kibabu km lemutuz.
Swali gumu sana hili, lina maelezo marefu kidogo.Kwanini hujaoa?
Hamnaga swali gumu labda la kifo tuSwali gumu sana hili, lina maelezo marefu kidogo.
Field Marshall..Senior bachela
Anyway niliwahi kuwa na mke, kuna wakati nilitoka kwa muda flani nje ya mipaka ya tz, baada ya kurejea miaka 4 baadae nikakuta mambo mengi yameharibika likiwepo swala la mke kujaribu kutoa mimba.Thats it, ndio maana nyie wanawake mimi nawaangaliaga tu.Hamnaga swali gumu labda la kifo tu
Pole sana.mimba ilikuwa ya nani jamani?Anyway niliwahi kuwa na mke, kuna wakati nilitoka kwa muda flani nje ya mipaka ya tz, baada ya kurejea miaka 4 baadae nikakuta mambo mengi yameharibika likiwepo swala la mke kujaribu kutoa mimba.Thats it, ndio maana nyie wanawake mimi nawaangaliaga tu.
Miaka minne hurudi hata kumkaza mkeo unategemea nini?.we ulikua mwaminifu hio mika yote?.Anyway niliwahi kuwa na mke, kuna wakati nilitoka kwa muda flani nje ya mipaka ya tz, baada ya kurejea miaka 4 baadae nikakuta mambo mengi yameharibika likiwepo swala la mke kujaribu kutoa mimba.Thats it, ndio maana nyie wanawake mimi nawaangaliaga tu.
Ya mtu wa kazini kwakePole sana.mimba ilikuwa ya nani jamani?
Nilitoka kwa tahadhari kwa maana ya kupunguza tamaa za mwiliMiaka minne hurudi hata kumkaza mkeo unategemea nini?.we ulikua mwaminifu hio mika yote?.
Si ungemsamehe tu jamani?Ya mtu wa kazini kwake
Unawachekiiiiii halafu unasema tu hiiiiii!.[emoji124][emoji124]Anyway niliwahi kuwa na mke, kuna wakati nilitoka kwa muda flani nje ya mipaka ya tz, baada ya kurejea miaka 4 baadae nikakuta mambo mengi yameharibika likiwepo swala la mke kujaribu kutoa mimba.Thats it, ndio maana nyie wanawake mimi nawaangaliaga tu.
Never, tumeondoka na vidonda vyetuSi ungemsamehe tu jamani?
Unagegeda lakini?Never, tumeondoka na vidonda vyetu
mpaka leo sija recover najisahaulisha tu
Yeah, hao uwezi kukosa.Unagegeda lakini?
Ahahaa sasa si uoe tu ukae kwa heshima na familia yako Mkuu?Yeah, hao uwezi kukosa.
Ina maana bado hujaolewa wewe binti wa kizigua? naomba nikupatie kijana wangu.....Wanasema wanawake tuolewe na wanaume watu wazima ili tukianza kuzeeka na wao wanakua wanapoteza uoni hawataweza kuona tukizeeka