Comrade 01
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 601
- 626
Hakuna kitu kama hicho.Baba yangu mkubwa ana miaka 73,kaoa mke wa tatu binti wa miaka 22.atasubiri afike 70 aoe kabinti ka miaka 20 kamuue kwa heart attack.
Wanaume ni jambo la asili kwetu kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja.Wanaume bana ts weird mnoo unavogoma kumsamehe wkt na wewe ulimsaliti...mimba ungekua wa kike hata wewe ungeweza pata au ungeweza mpa mtu ni bht mbaya
Endelea kujisahaulisha mkuu hamna namnaa
Kumbuka kiapo cha ndoa yakoWanaume ni jambo la asili kwetu kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja.
Sasa na nyinyi wanawake mnataka kushindana na wanaume,ndio maana kuna kansa ya kizazi.Hii ni asili ya maumbile.
Hivi ni hana masikio kweli?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umenikumbusha ule Uzi waliomuanzishia kumsema hana masikio
Mpaka za wasanii tukumbe papuchi zinasaidia kuonekana kijana...........
alisema analo mojaHivi ni hana masikio kweli?
alisema analo moja
hiyo miaka haifanani na sura yake..huyo wamepishana mwaka 1 na miez 5 na lemutuz.Aisee mdau huyu muhimu wa bongo fleva ametimiza miaka 49, tumtakie heri ya kuzaliwa jemedari huyu
Senior bachela
Kwa umri huo atakuwa kavuka level ya usenior , huyu director bachelorSenior bachela
Lingine lilipotelea wapi?alisema analo moja
Wabinafsi kweli. Kuna mbaba ana kama 60yrs anakaa mitaa ya kwenu kama Rainbow kwa chini. Yule baba kilio chake kikubwa ni ndoa. Ana maisha akitaka mwanamke yeyote anampata ila haoni aoe nani. Anaishia kuwatia anaacha ila akikaa ni ndoa ndoa tu
Unakuta dogo ana miaka 25 wewe una 35 .anakudai umuoneshe kwenu apeleke mahari.unamuuliza dogo mama yako utamuambia Mimi nani? Ahahaa vina confidence balaa kuna shosti wangu ana miaka 42 kaolewa juzi na dogo wa miaka 28. Mi nitakomaa na wahenga tu kwa kweli ahahaaa