Ruge atimiza miaka 49, happy birthday Mdau

Kwa mwanaume 25 26 ni mdogo. Bora 28 kidogo kakua. Mkuu hujaona kuna kijana huku miaka 25 analalamika baba ake anamwambia akapange wakati yeye bado mdogo

[emoji2][emoji2] kwa umri huo, km ulkuwa ni mtu wa shule basi ndo unakuwa umehitimu chuo kwa ka-digirii ka-uinjinia au udakitari. Na km ni digirii zngne basi unakuwa ulshamalza km miaka miwili ilyopta (ukiwa na 23 au 24) na unatafuta mishe ili mkono upate kukamata mkate wa kila siku.
Hivo technically inawezekana kabsa ukawa na 24-27 na bado ukawa nyumbani ukijipanga kisela.
So ni haki kukomaa mzee asikufukuze wkt huo ukjipanga. [emoji2]
 
Wabinafsi kweli. Kuna mbaba ana kama 60yrs anakaa mitaa ya kwenu kama Rainbow kwa chini. Yule baba kilio chake kikubwa ni ndoa. Ana maisha akitaka mwanamke yeyote anampata ila haoni aoe nani. Anaishia kuwatia anaacha ila akikaa ni ndoa ndoa tu
Nimeshamjua huyo mtu.
 
Hii nchi wanafiki wengi. Wanasema mabaya ya MTU ila mazuri hawasemi.
Huyu jamaa (Ruge) ana mchango wake mkubwa sana saaana ktk tasnia ya muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania (almaarufu km Bongo Flava). Hakuna mtu ambye ni mkamilifu (kila mtu ana mapungufu yake, iwe ni Msanii, Meneja, Promota, Mmiliki wa TV au Radio etc.), ila Ruge kawasaidia weeeengi saaaana.
Na credit lazma apewe ktk hilo (anastahili).
 
Ruge kitambo sana kwenye game enzi za kina ODEMBA,Frank Machozi Faces International miaka ya 90's anakimbiza kwenye burudani.
 
Ni umafia.kuna dogo alisoma na mdogo wangu namzidi miaka minne .anataka ndoa balaa.naanzaje? Nikamwambia hapana .ndoa inaenda hivi hvi naiona Ila sio mbaya nitakufa na tai shingoni
Kwani lazima uolewe? Endelea kua kiburudisho...watu wajipigie wakiwa na nyege watambae.

Kuolewa waachie wengine...we kua chombo cha starehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…