Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Kwa mwanaume 25 26 ni mdogo. Bora 28 kidogo kakua. Mkuu hujaona kuna kijana huku miaka 25 analalamika baba ake anamwambia akapange wakati yeye bado mdogo
[emoji2] [emoji2] Kumbe umri wa miaka 25-28 bado unakuwa ni "dogo" eeh!??